Si ushamba wako ,bali uelewa wako ndio tatizo, hujui kuwa kazi jeshi inataka able bodied person ?je unahisi itakuwa rahisi kwa mlemavu wa ngozi to endure scorching sun in a parade?
Ni sawa na wenye mabusha,wasioona ,viwete na wote wengine wenye huge physical disadvantage hawawezi kuhimiliextreme hard labour in extreme tough environment!