hawajakupangia mjomba umechagua mwenyewe nyinyi ndio wanafunzi mnaenda ku apply unakuta kuna option tisa za kuchagua unajaza zote , kama vile hauna uhakika na unachotaka kusoma alafu ukichaguliwa unaanza kulia na kutoa lawama nani alikujazia hiyo koz mpaka unatoa lawama za kijinga
Magufuli alifuta Mfumo wa Ku-apply kupitia TCU kwa madai kuwa TCU wanawapangia watu vyuo wasivyotaka, sasa kumbe wewe umeleta kesi mpya kuwa Vyuo vinapangia watu kozi wasizoomba? Pole ndugu, japo nna mashaka kama kweli SUA wamekupangia kozi ambayo wewe haukuomba!!!!