Ubadilishaji wa hela kulikoni?

Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,621
2,567
Ndugu zangu, kuna nchi ukibadilisha hela (noti na sarafu) unapata kiwango kilekile kwa noti za 100, 50, 20, 10 au 1. Lakini hapa Tanzania naona tunaibiwa sana. Mfano, ukiwa na noti kadhaa (dolars au pounds) za 100 kila moja na mwingine za 10 rate yake kwa hapa itakuwa tofauti.

Naomba kama kuna mtu anajua zaidi kwa nini ni hivi anijulishe kwani huwa inaniumiza sana kuona noti za dolars au pounds 100 zinakuwa na rate tofauti na zile za 50, 20, 10 na nadhani noti za dolar au pound 1 hazipokelewi kabisa. Huwa ni kwa sababu gani au ndio utandawazi: 'anything goes'?
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom