Jifunze kuandika vizuri na kutumia alama za uandishi kama vituo, koma , aya n.k
Nimewaona wawili Ila kwa nje wana furaha na amani ndani ya moyo sijuiKuna mtu pia kashuhudia bibi akiteseka na ubachela??? Au hii ngoma ni ya babu pekee?
(Nisifokewe nimetumia ubachela ili nieleweke)
Duh... kazi kwelikweliKuna mtu pia kashuhudia bibi akiteseka na ubachela??? Au hii ngoma ni ya babu pekee?
(Nisifokewe nimetumia ubachela ili nieleweke)
Yes but Swali ni kwamba una hizo pesa? Maana kuna kundi huwa linatumia pesa zisizokuwepo kufanya maamuzi, utasikia sitaki mke sababu tukiachana tutagawana mali wakati hana mali.Ukiwa na pesa, ukajua kutunza amani ya moyo wako na furaha yako wala haina shida.
Ni kweli mkuu ila uzee bila pesa na familia ndo mbaya zaidi. Ukiwa na pesa unaweza hata kununua familia. Ukaadupt watoto wawili au watatu ukalipa na mfanyakazi wa kuwahudumia wakakupa kampani.Kuna watu mnacomment mambo ya "Tafuta pesa hautateseka", mara "hayo yote sababu hana pesa".
Naomba niwaambie tu, uwe na pesa usiwe na pesa, ukizeeka ukiwa bachelor utateseka tu.
Binadamu hatujaumbiwa kuishi single, tumeumbiwa kuishi pair, mwanaume na mwanamke.
Na amini usiamini kuishi single hautakaa uwe na pesa, na ukiwa nazo utakufa mapema maana utakuwa hauna discipline!
Mababu tena sio wote ni wale maskini tu ndio wanaosotaKuna mtu pia kashuhudia bibi akiteseka na ubachela??? Au hii ngoma ni ya babu pekee?
(Nisifokewe nimetumia ubachela ili nieleweke)
Ukiwa na Hela huwezi kua bachelor au kukosa mtoto unless uwe umechagua kua bachelor..kwa umri wa miaka 75 anaweza kuoa hata binti wa miaka 25 apashe kitanda joto,mzee mtee hakujipanga..Kuna watu mnacomment mambo ya "Tafuta pesa hautateseka", mara "hayo yote sababu hana pesa".
Naomba niwaambie tu, uwe na pesa usiwe na pesa, ukizeeka ukiwa bachelor utateseka tu.
Binadamu hatujaumbiwa kuishi single, tumeumbiwa kuishi pair, mwanaume na mwanamke.
Na amini usiamini kuishi single hautakaa uwe na pesa, na ukiwa nazo utakufa mapema maana utakuwa hauna discipline!
Suala la pesa ni subjective mkuu.Ni kweli mkuu ila uzee bila pesa na familia ndo mbaya zaidi. Ukiwa na pesa unaweza hata kununua familia. Ukaadupt watoto wawili au watatu ukalipa na mfanyakazi wa kuwahudumia wakakupa kampani.
Yes, ts true.Suala la pesa ni subjective mkuu.
Cha msingi wewe kuwa na familia, as long as hawalali njaa, kisha mengine muachie Mungu.
hahaha!Yes but Swali ni kwamba una hizo pesa? Maana kuna kundi huwa linatumia pesa zisizokuwepo kufanya maamuzi, utasikia sitaki mke sababu tukiachana tutagawana mali wakati hana mali.
Kwa kweli hapa mzee babaKila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Shule za kata.Jifunze kuandika vizuri na kutumia alama za uandishi kama vituo, koma , aya n.k