Ayatollah the Bird
Senior Member
- Jul 30, 2026
- 182
- 412
Hapo zenji Kuna sehemu kwa maza mMoja nilikua naenda kupata chakula, sasa Kuna Mzee mMoja alikua anakija kula pale ni Mzee Sanna, yule Babu anapitia kipindi kigumu sana haya mambo ya usela ujanani sijui kataa ndoa wallah yatatutokea puani, Yani ili ale mpaka ahurumiwe Yani shida tupu ukimcheki ni msela tu wa enzi hizo tusalinsana ndugu zangu vuta nyapu hata kama ni mbibi asee vuta mkuu, sikilizia kua mpole usipo kua na hela punguza Sheria kwa mkeo, we mwanamke anachangia Kodi mara anunulie chakula watoto bado we na e unataka umpe na Sheria zako, huwezi ndoa ndoa inamtaka mume mjinga, wanao umia n madogo kibaya zaidi hawa madogo wasicho kijua maisha ya mtandaoni ni fake, wanao chochea haya mambo wengi wao wamesha kata tamaa ya maisha, wengine mashoga, wengine mahanisi, Kila mtu na sababu zake Kuna mdau ni mtu maarufu huhamasisha vijana wasioe cha kushangaza ye kaoa na ana watoto wakumbwa tu, na juzi mwanae mMoja kamaliza shule form four, na ana mke, mdogo wake kaoa mwaka Jana mwishoni hakumzuia, mpaka unajiuliza shida nini, ndoa Ina gharama zake you needs to pay lakini kuhamasisha watu wasioe huko nikupingana na mungu na mafundisho yake tusifate mkumbo hata kwa utani tu.Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Mtafutie jimama fulani hivi.....awe nae hapo..........Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Ndio maana nasisitiza hata nyumba ndogo......... sometimes zina rescue.Hapo zenji Kuna sehemu kwa maza mMoja nilikua naenda kupata chakula, sasa Kuna Mzee mMoja alikua anakija kula pale ni Mzee Sanna, yule Babu anapitia kipindi kigumu sana haya mambo ya usela ujanani sijui kataa ndoa wallah yatatutokea puani, Yani ili ale mpaka ahurumiwe Yani shida tupu ukimcheki ni msela tu wa enzi hizo tusalinsana ndugu zangu vuta nyapu hata kama ni mbibi asee vuta mkuu, sikilizia kua mpole usipo kua na hela punguza Sheria kwa mkeo, we mwanamke anachangia Kodi mara anunulie chakula watoto bado we na e unataka umpe na Sheria zako, huwezi ndoa ndoa inamtaka mume mjinga, wanao umia n madogo kibaya zaidi hawa madogo wasicho kijua maisha ya mtandaoni ni fake, wanao chochea haya mambo wengi wao wamesha kata tamaa ya maisha, wengine mashoga, wengine mahanisi, Kila mtu na sababu zake Kuna mdau ni mtu maarufu huhamasisha vijana wasioe cha kushangaza ye kaoa na ana watoto wakumbwa tu, na juzi mwanae mMoja kamaliza shule form four, na ana mke, mdogo wake kaoa mwaka Jana mwishoni hakumzuia, mpaka unajiuliza shida nini, ndoa Ina gharama zake you needs to pay lakini kuhamasisha watu wasioe huko nikupingana na mungu na mafundisho yake tusifate mkumbo hata kwa utani tu.
Inategemea pengine angeoa leo angekuwa hayupo kuoa kuna mengi ni kwa neema tuu upate mwanamke anayekupenda na mwenye hofu ya MunguKila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. Maana ukishafikisha umri uo hata watoto wanaamishia mapenzi kwa mama yao akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Ogopa tu umasikini hayo mengine pesa inayaweka sawa.Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
huenda ndio maana ana 75 yrs of age,Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
NakaziaOgopa tu umasikini hayo mengine pesa inayaweka sawa.
suala la kuandika aya ni gumu kutokana na aina ya kifaa cha kuandikia hakina uwezo wa kutenga ayaJifunze kuandika vizuri na kutumia alama za uandishi kama vituo, koma , aya n.k