Ubabe wa Clouds FM uangaliwe

Kama na wewe utaweza kupambana na WASALITI wako kwa mbinu wanayotumia CLOUDS.... ni vizuri sana.

Kwani unampa ADUI yako MALISHO mazuri, kisha unamnyima KIMOJA, Maji au Hewa.

Akitoka hapo ni lazima ASHIKE Mikono yake miwili na kutanguliza MAOMBI kwako...!!

Ni mbinu za KIBIASHARA/MIKATABA hizo...

Ni NJAA yako itakayo shusha UTU wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…