Ubabe vyuo vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabe vyuo vikuu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Soccrates, Aug 7, 2012.

 1. S

  Soccrates New Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanini kila serikali za wanavyuo zinapochaguliwa na wanachuo wenyewe kwa nini utawala hupenda kuingilia kati maamuzi ya wanachuo kuleta uvunjifu wa amani vyuoni..Mfano UDSM, LUKO, TEKU...Kulikoni?
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hii inasababishwa na serikali isiyojiamini. Kwa Tanzania serikali iko kuwanyonya wananchi badala ya kuwatumikia. Tuliosoma kwa mfano UDSM tunalijua sana hili hasa wakati wa chama kimoja na baada ya kuja marais vilaza. Hii inasababisha na kuvunja mioyo ya wanafunzi. Kwa tuliosoma pale na baadaye nje ya nchi tunaona tofauti kati ya utawala wa vyuo vyetu. Bado baadhi ya maprofesa wana hang overs za ukoloni wakipenda kufelisha hata kuwatoa rushwa hasa ya ngono wanafunzi. Dunia imebadilika sharti tubadilike.
   
 3. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  UDOM kiboko yao,serikali yenyewe ni ya kuteuliwa na naibu mkuu wa chuo,MLACHA
   
 4. m

  markj JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Sasa huu ni ubabe! Au ujinga na ufinyu wa utawala wenye akili mgando! For udom mlacha ni panya kama walivyo panya wengine! Ndo mana wakati wetu tulimtia vdole huyo mzee!
   
 5. b

  bdo JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  hivi bado kuna serikali za wanavyuo? au zimefufuliwa lini?
   
 6. IHANDA

  IHANDA Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15

  mtoa mada umesahau kutaja UDOM chuo ambacho kinaongozwa na vilaza, akina mlacha, makangara ambao wamefanya chuo kama chakifamilia, wamefukuza wanafunzi ambao walikuwa wanadai haki yao ya kupata mafunzo kwa vitendo toka july mwaka jana mpaka sasa wapo kitaa. inasikitisaha sana
   
 7. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  unamaanisha nini hapo kwenye red???
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kama ulivyoelewa mara yakwanza tu wakaati unasoma iyo kitu!
   
 9. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mlacha ni mpuuzi
   
 10. S

  Soccrates New Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa ninaloliona itikadi za vyama vimeathiri serikali halali za vyuo, wanatakiwa waelewe, serilkali hizi ni kama micro training ambazo husaidia watu kama akina Obama kujitokeza na kuleta mageuzi..lets unite and fight for our own rights..maisha mema kwa wale wote waliofukuzwa kwa ajili ya wengine, big up sana!
   
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ...ila kwenye red ni wakati na sio waakati!
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  akili makini ilishaelewa! vitu kama ivyo bunge wanatumiaga siku nzima! lakini jf, just one post
   
Loading...