Uasi raha

Uasi raha

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
katika harakati za kusafirisha wanyama nje ya nchi kuna waziri mmoja nasiki kimakosa kachanganywa kwenye banda la wanyama na kusafirishwa akidhaniwa kuwa ni sokwe. ndio maana siku hizi hasikiki kabisa
 
Alikuwa amesinzia jamaa wakadhani ni sokwe wao waliyempiga sindano ya kumpumbaza imemzidi doz.
 
katika harakati za kusafirisha wanyama nje ya nchi kuna waziri mmoja nasiki kimakosa kachanganywa kwenye banda la wanyama na kusafirishwa akidhaniwa kuwa ni sokwe. ndio maana siku hizi hasikiki kabisa

kumbe ni kitalolo ndo maana nilikuwa nasikia harufu ya maziwa
 
Jamani tuchukie characters zake na sio yeye kama yeye!
Tukumbuke ana watoto yule!
Don't embarass him!
 
Kaaaah!jamani yule ni baba wa mtu, taratibu jamani huu utani utavuka mipaka
 
Back
Top Bottom