Ukifika Saudia, Kuwait, Qatar, Oman l, Bahrain na UAE (Dubai, Sharjah ama Abu Dhabi) utakubali kuwa zile nchi zimebarikiwa. Mfanya usafi Msikitini analipwa yapata 5m TZS Kwa mwezi (na hakuna Kodi).
Nimekaa Saudia Kama miaka 6, mishe nilizokuwa napiga huko Ni kuwasha vipaza sauti vya adhana, nilikuwa nalipwa mil 27 ukitoa Kodi laki 3 nabakiza mil 26.7

Watu wanaleta utani lakini nenda google angalia pesa ya oman uone ilivyo juu ya dola ya marekani...na wale wa kiafrica mabinti wengi wanalipwa zaidi ya laki 7 mpaka milioni na kuendelea.. baadhi yao wakirudi huku wanajenga.