MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 466
- 101
UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA KAMPUNI
Amani iwe kwenu nyote wana JF!
Ndg zangu nimekuwa ni kitatizwa sana na maswali yafuatayo huenda nawe pia unatatizwa na maswali kama haya,
(1) kwa nini kampuni nyingi za Kitanzania zinakufa haraka baada ya kuanzishwa?
(2) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina uhai au hazihimili ushindani katika soko?
(3) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina ofisi maalum ya ni kampuni za mifukoni tu?
(4) Kwa nini kampuni nyingi za kibongo hazipewi kipaumbele hasa ktk suala la mikopo ya kibenki mf kampuni ya Bw Lakeshi ikiomba mkopo wa tsh 50 ml inapata haraka tu na kampuni ya Bw Masawe ikiomba mkopo km huo iazungushwa weeeee dakika za mwisho inaambiwa haina sifa za kupata mkopo, japo kampnui zote mbili zinasifa sawa tu?
(5) Kwa nini Serikari ya TZ inaonekana kuzipatia kipaumbele sana kampuni za kigeni kuliko za wazawa?
Ngd zangu ninaomba mchango wenu wa kimawazo ili hatimae tuweze kujibu maswali hayo ufasaha, ninaamini kama tutajibu kwa ufasaha mkubwa basi majibu yetu yatakuwa ni msaada mkubwa sana kwa watu wengine.
Mimi nina amini katika ushirikiano, tukishirikiana kimawazo tutaweza kuboresha kazi zetu za kila siku hatimae kuweza kuinua uchumi wa nchi yetu. PAMOJA TUNAWEZA!
Baada ya kusema hayo ninatoa mchango wangu kwa kuwapatia baadhi ya miongozo mbali mbali ya kuanzisha na kuendesha biashara ambayo ni mkusanyiko wa maada mbali mbali ambazo nimezitoa katika vyanzo mbali mbali. Asanteni
NB ninaruhu kukosolewa kwa nia ya kujenga.asante[/QUOTE
ahsante sana mkuu huu ni muongozo muhimu sana GOD BLESS U
mojawapo ya sababu kubwa ya kufa kwa makampuni ya kibongo ni kuiga biashara. ikitokea challenge kidogo ama competition ikongezeka watu wanashindwa kustahimili. Sababu ingine ni cashfloww management problem inafika wakati makampuni yanashindwa kumeet financial obligation kutokana na kurun out of cash (temporary) bank ambapo zingekuwa zinatoa temporary od. So hii inaffect morally ya wafanyakazi pale wanaposhindwa kulipwa kwa wakati.
Sababu ingine biashara nyingi kuendeshwa kifamilia zaidi badala ya kutumia wataalamu so ikitokea family problem kidogo inafail(mfano unnat fruits processing morogoro)
Additionaly, a lot of new business owners in Tanzania are first generation entrepreneurs. There is no one to teach you the most basic things.
Of these new entrepreneurs, some are in it to make quick bucks and move on to the next quick deal and some are doing it because they are passionate in the venture.
The quick bucks ones are the mission town or briefcase companies. They don't care about growing the business. Not passionate ndio maana they are not innovative hence not competitive.
The passionate ones do care about growing the business. They have a vision. Unfortunately some of these are let down because of many reasons amongst them being:
1. Lack of enough capital – but not a reason to stop a good idea. Just start small and grow.
2. Lack of business management skills
a. Taxation laws, it is easy to make a honest mistake because you didn't know but TRA wanawea wakakufirisi bila huruma. Make sure you file and pay your provisional returns correctly and in time to avoid fines and penalties. Bila kusahau annual returns at BRELA. Na mambo mengine mengi tu.
b. Human resources management – kuajiri na kumanage watu is a mission. Hapa labour law zitakusumbua ukikosea.
c. Lack of improper accounting, this could cost you in both time and money. Account for every single penny you earn and spend.
3. The biggest of all is a good succession plan. Your company must run even when you are not there. You need a system. Failing to place a good succession plan will make you become the HR, the MD, the customer service representative, the receptionist, the cleaner, etc. This will cost you time to grow your business.
Otherwise owning your own business is very rewarding and pays off if done correctly.
Good luck!
wengi wanataka mikopo si kwa ajili ya kile walichokisema kwenye bness plan zao.ukifanya physical inspection utagundua biashara yenyewe wala haiko kama mwombaji wa mkopo alivyo jieleza kwenye papers zake,ndo maana mikopo hawapewi.pia tatizo jingine wabongo wengi hawana commitment kwenye biashara zao.unakuta mtu kwasababu biashara ni yake basi anafungua au kufunga muda anaotaka,atachukua hela bila mpangilio fun enough unakuta mbongo hana hata vision analysis ya biashara yake.wanasema hivi "if you dont plan,that means you have plan to fail.YOU MUST PLAN
UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA KAMPUNI
Amani iwe kwenu nyote wana JF!
Ndg zangu nimekuwa ni kitatizwa sana na maswali yafuatayo huenda nawe pia unatatizwa na maswali kama haya,
(1) kwa nini kampuni nyingi za Kitanzania zinakufa haraka baada ya kuanzishwa?
(2) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina uhai au hazihimili ushindani katika soko?
(3) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina ofisi maalum ya ni kampuni za mifukoni tu?
(4) Kwa nini kampuni nyingi za kibongo hazipewi kipaumbele hasa ktk suala la mikopo ya kibenki mf kampuni ya Bw Lakeshi ikiomba mkopo wa tsh 50 ml inapata haraka tu na kampuni ya Bw Masawe ikiomba mkopo km huo iazungushwa weeeee dakika za mwisho inaambiwa haina sifa za kupata mkopo, japo kampnui zote mbili zinasifa sawa tu?
(5) Kwa nini Serikari ya TZ inaonekana kuzipatia kipaumbele sana kampuni za kigeni kuliko za wazawa?
Ngd zangu ninaomba mchango wenu wa kimawazo ili hatimae tuweze kujibu maswali hayo ufasaha, ninaamini kama tutajibu kwa ufasaha mkubwa basi majibu yetu yatakuwa ni msaada mkubwa sana kwa watu wengine.
Mimi nina amini katika ushirikiano, tukishirikiana kimawazo tutaweza kuboresha kazi zetu za kila siku hatimae kuweza kuinua uchumi wa nchi yetu. PAMOJA TUNAWEZA!
Baada ya kusema hayo ninatoa mchango wangu kwa kuwapatia baadhi ya miongozo mbali mbali ya kuanzisha na kuendesha biashara ambayo ni mkusanyiko wa maada mbali mbali ambazo nimezitoa katika vyanzo mbali mbali. Asanteni
NB ninaruhu kukosolewa kwa nia ya kujenga.asante
UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA KAMPUNI
Amani iwe kwenu nyote wana JF!
Ndg zangu nimekuwa ni kitatizwa sana na maswali yafuatayo huenda nawe pia unatatizwa na maswali kama haya,
(1) kwa nini kampuni nyingi za Kitanzania zinakufa haraka baada ya kuanzishwa? - (Kukosa ubunifu kukosa utafiti)
(2) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina uhai au hazihimili ushindani katika soko? (Sababu ya kuiga kutotafiti)
(3) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina ofisi maalum ya ni kampuni za mifukoni tu? (Ubabaishaji)
(4) Kwa nini kampuni nyingi za kibongo hazipewi kipaumbele hasa ktk suala la mikopo ya kibenki mf kampuni ya Bw Lakeshi (Kukosa uaminifu) ikiomba mkopo wa tsh 50 ml inapata haraka tu na kampuni ya Bw Masawe ikiomba mkopo km huo iazungushwa weeeee dakika za mwisho inaambiwa haina sifa za kupata mkopo, japo kampnui zote mbili zinasifa sawa tu?
(5) Kwa nini Serikari ya TZ inaonekana kuzipatia kipaumbele sana kampuni za kigeni kuliko za wazawa? (Kuto aminiana na kukosa uzalendo)
Ngd zangu ninaomba mchango wenu wa kimawazo ili hatimae tuweze kujibu maswali hayo ufasaha, ninaamini kama tutajibu kwa ufasaha mkubwa basi majibu yetu yatakuwa ni msaada mkubwa sana kwa watu wengine.
Mimi nina amini katika ushirikiano, tukishirikiana kimawazo tutaweza kuboresha kazi zetu za kila siku hatimae kuweza kuinua uchumi wa nchi yetu. PAMOJA TUNAWEZA!
Baada ya kusema hayo ninatoa mchango wangu kwa kuwapatia baadhi ya miongozo mbali mbali ya kuanzisha na kuendesha biashara ambayo ni mkusanyiko wa maada mbali mbali ambazo nimezitoa katika vyanzo mbali mbali. Asanteni
NB ninaruhu kukosolewa kwa nia ya kujenga.asante
MAJIBU NIMEWEKA KWENYE MABANO