Ingia hapa mkuu: publishers utapata adress zao na namba za simu.Wana janvi habari zenu na poleni kwa shughuli za hapa pale.
Naombeni ushauri na maelekezo kuhusu utungaji na uandishi wa vitabu.
Mimi naishi mkoani, nimekuwa nikiandika vitabu lakini sija chapisha hata kimoja, sasa ninavyo viwili viko kwenye soft copy.
Sasa naombeni kufahamu yafuatayo;
1. Ni publisher yupi anayeaminika kwa Dar na bei yake ni reasonable kwa karatasi nyeupe na picha za rangi kitabu chote?
2. Je, Ku publish kitabu cha page 150 inagharimu bei gani?
Kwa yeyote mwenye uelewa naomba anisaidie.
wACHAPAJI NI WEZI WAKUBWA, WASAMBAZAJI NI WEZI ZAIDI NA KIBAYA ZAIDI WATANZANIA WENGI HATUNA UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU
Cassava Tatizo lako linalokushinda kuchapisha vitabu ni nini? Pesa au kitu gani. Njia za kuchapisha kitabu ziko 2. Kwanza unaweza kukisimamia mwenyewe kulipia uchapishaji na kusambaza au kutumia publisher. Njia ya kwanza ni rahisi kwa sababu haina mikwara ukielekezwa unaweza kufanya. Njia ya pili ni ngumu kwa sababu Publishers wa tz siyo waaminifu pia inabidi waukubali mswaada wako ndiyo kichapishwe na kusambazwa kulipana napo ni matatizo. Mimi ni mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nimechapisha nakala 4,000 na nimeuza nakala 3,000 tangu mwaka 2008. Tuwasiliane ili nikupe ushauri. Nipigie simu 0755394701.
Ingia hapa mkuu: publishers utapata adress zao na namba za simu.
Karibu sana ndugu, ila ujatufahamisha maudhui ya vitabu vyako.Kaka asante sana, nimefurahi, sasa nitawasiliana na mmoja baada ya mwingine kwanza.