Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.
View attachment 2745599
Tatizo lake ndio Hilo nae,much know sana na kujionaga Yuko perfect ndio maana hadumu na marafikiAnataka kuonesha Yuko sahihi na hakubali kushindwa
Naomba niwe shabani wako, nafasi napata?Xawa my wangu
Naomba niwe shabani wako, nafasi napata?
Anza kuleta range kwanza
Huwa ni tatizo la kihisia, mfano angalia hapo huyu jamaa anataka kuwasilisha habari/hoja yenye kusikitisha ila anacheka (😂) hii kitu ni aina ya uchizi hivi Mkuu.Ukishaona mtu anatumia emoji nyingi kwenye uandishi wake ujue ni tatizo huyo.
Hapo hata kusoma alichoandika sisomi
Hili jukwaa huru mtaalam. Kuwa na amani..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilitaka nikutukane ila nikakumbuka sina utani na wewe wala huenda hatuendani kiumri
Bola afe tupate ulisi wa muadiko wake 😅😅😅😅Hila, kene kuwatoreha watu basitora, ipo siku hatachokwa. Aiza ataperekwa porisi hau, watu watahamuha wamkande wenyewe. Sheliha mkononi
Yani hata mood ya kumkiss inakatika uongo🤣🤣 ila sema kuna kaukweli aisee ni bora mkiwa washamba muwe washamba wote penzi linanoga mkiandika "nipo balabalani" na anaejibu asijue kama kuna makosa ya uandishi hapo mnaenda sawa , ila uikute huyu anachanganya na kiingereza yule anaandika "nimehamka sarama" hata mood ya kuwa nae inakataNikiwa na mpenzi anaandika hivi bora awe anaipigia tu simu tuongeee...huo mwandiko hapana kwakweli....kwanza mwanaume wa kuchambana insta na kutumia emoji zote hizo unataka kugundua nini