Uandishi huu ni balaa

Kiswahili kigumu sana. Walimu wa siku hizi wametokea chuo kufaulu kwa kukariri.
 
Hahahaha duu lakini kaeleweka ila wewe umemfanyia huuni tu
Tumemuelewa kwa vile sisi watanzania kiswahili ndio lugha yetu,lakini kwa yule ambae kiswahili ni lugha ya kujifunza darasani basi hapo hapati hata neno moja,kwa mfano wageni kutoka nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…