Uandikishaji BVR Osunyai Arusha

Uandikishaji BVR Osunyai Arusha

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,197
Reaction score
14,902
Watu wamejitokeza kwa wingi kituo cha Zahanati Ngusero, cha kustaajabisha mashine imesha anza kuzengua.

Hadi muda huu hamna aliye andikishwa mashine hazina mawasiliano.
 
Attachments

  • 1434433395660.jpg
    1434433395660.jpg
    52.4 KB · Views: 520
Nyie ndo mnazingua,umeamua kwenda kujiandikisha tulia uandikishwe technical problems huwa zinatokea!
 
ukiona mtu anaandika uchafu kama huu kwenye issue inayohusu mstakabali wa taifa then ujue ameshakata tamaa,na anachosubiri ni kifo tu
r.i.p kinjekitile jr

Acha kujilisha upepo dogo kama umeshindwa kuvumilia na kukaa kwenye mstari si uondoke au huna kwenu?
 
Katika Kata ya Sombetini mkoani Arusha iliyokuwa inaongozwa na Alphones Mawazo (akitokea CCM) sasa CHADEMA kumetokea vurugu zilizosababishwa na mwanachama wa CHADEMA baada ya kugombea karatasi ya majina katika zoezi la uandishishaji wa BVR.

Ni katika kituo cha mtaaa wa Osunyai/Sombetini na wananchi wamevunja fensi pamoja na geti lakini Polisi naona wamefika hapa kwa ajili ya usalama. Ikumbukwe kuwa daftari la kudumu linaendelea hapa Jijini Arusha. Ninaendelea kukujuza kadri muda unavyoendelea.
=======
Cha kushangaza kijana huyu aliyenzisha vurugu amevaaa tisheti ya CHADEMA ila amebanwa na Polisi na amepatikana na kitambulisho cha kadi ya CCM na yeye ni mwana CCM. Sasa najiuliza kuwa ni kwanini hii Tanzania mbona watu wanafanya mambo ya kuharibu taratibu na sheria za eneo husika kama hili?

Ameagizwa au ni nini kimemepelekea kufikia huku?.
 
Huu hapa ni upotoshaji. Fensi haijavunjwa, na aliyefanya fujo ni kada wa Ccm kwa jina la utani wana muita Bonge.
Kinachoendelea hapa ni kwamba BVR hazifanyi kazi.
 
​Huyo ni miharifu tu kama wahaarifu wengine ashughulikiwe ili atie akili kuvaa mavazi ya CDM na kadi ya CCM siyo kigezo cha kuleta vurugu, apigwe tu huyo kibaka wa DEMOKRASIA!
 
LESIRIAMU

Kamanda nimepita anga hiyo kwa kweli foleni ni kubwa na hata hapo Sokon 1 nako foleni kibao na nikajaribu kuongea na baadhi ya watu na wakasema tangu alfajiri walidamkia hapo na mashine zenyewe zimeletwa majira ya saa mbili yapata kamili.

Kwa ujumla kazi ipo!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huu hapa ni upotoshaji. Fensi haijavunjwa, na aliyefanya fujo ni kada wa Ccm kwa jina la utani wana muita Bonge.
Kinachoendelea hapa ni kwamba BVR hazifanyi kazi.

Mnaanza kutuchanganya na taarifa zenu za uongo itabidi na nyie mpigwe tu maana hamsomeki!
 
Kamanda nimepita anga hiyo kwa kweli foleni ni kubwa na hata hapo Sokon 1 nako foleni kibao na nikajaribu kuongea na baadhi ya watu na wakasema tangu alfajiri walidamkia hapo na mashine zenyewe zimeletwa majira ya saa mbili yapata kamili.

Kwa ujumla kazi ipo!!!!!!

Atakayevumilia mpaka mwisho huyo ndo mshindi kikubwa changamoto zifanyiwe kazi zoezi liendelee!siasa ziwekwe pembeni!
 
Best muda mwingine tafakari sana kabla ya kuandika chochote![/QUOTE

Tatizo lenu ni siasa ndo inawachanganya,zoezi limekuja kwenu mnaanza vurugu tena mapema mtakuwa wastaarabu na wavumilivu lini au ndo kusema nguvu nyingi kuliko akili nyingi ndo itumike?
 
Nyie ndo mnazingua,umeamua kwenda kujiandikisha tulia uandikishwe technical problems huwa zinatokea!

Hapa ndio wengi tunapotatizwa na kuingiwa na shaka.....kusuasua au kasoro lukuki za uandikishaji wa wapiga kura kuna faida gani kwa CCM? Nachojua ni kwamba kama zoezi litaenda kombo na watu wenye haki ya kuandikishwa wakaachwa kwa sababu ya mapungufu ya vifaa na waandikishaji, wapo wa-CCM, wa-CHADEMA, wa-CUF na wasio na vyama wataoachwa sasa iwaje washabiki wa CCM watetee au wafurahie?
 
Back
Top Bottom