Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!!

Last edited by a moderator:

shostito hebu mkumbushe mwaJ ule wimbo wa achia ngazi babu mchuma unaondoka huooooooooooooooooo! mwambie ushaondoka asome namba ya kegete chezeya kungwi weye?????////

mwenzio leo nilikuwa na shughulli ya kupakwa hina si wajua mwez huo hinna sunna kwa mwanamke?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli shosti gfsonwin unanivunja moyo kiasi hicho! Ila siku hizi hakuna shida mchuma ukiondoka unaukodia bodaboda yenye speed kali unaufukuzia. Hukawii kujikuta uko mbele ya mchuma!
 
Hahahaha... stuka mwaJ.... mme wako akiwa kwako. Akiwa nje si wako.

Last edited by a moderator:
Kivyovyote vile hakipokelewi kitu! Afu Babu nahisi wewe ndiyo umeanza kufundisha vijana mitara , b52 mfano halisi !
 
waaaaoh, sante sana babu kipenzi cha wajukuu. location wapi? nina hamu sana ya ubwabwa wa sherehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…