Uandaliwe Mdahalo wa Kiingereza kati ya Spika Job Ndugai na Jenerali Ulimwengu kuhusu siasa za ubepari

Pua ya zege

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
675
1,000
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
Kwahiyo jenerali ulimwengu andaaliwe mdahalo na bwanamifugo wa kongwa?
 
Kirokonya

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
1,961
2,000
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
.....Hii inanikumbusha watanzania fulani walihojiwa kiingereza na televisheni ya Kenya, maneno pekee waliyoweza kuyatamka kwa ufasaha ni ....his condition is critical but stable!
 
mtamamtete

JF-Expert Member
Jul 28, 2020
375
500
1. Umalaya wa Kifikra
2. Kukosa kujiamini
3. Ushamba
4. Ukosefu wa Elimu.

Ulimwengu ni Mtanzania
Ndungai ni Mtanzania.

Wote wanafahamu Kiswahili
Asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania wanazungumza Kiswahili.

Kwa ubwege wako unapendekeza mdahalo uwe wa Kiingereza. Hii akili ya wapi? Kwani wao waingereza au wazungu? Wana taka kuongea na wazungu?

Mjadala wa maana ni kuhusu katiba,uchumi na maisha ya Watanzania. Ubeberu nendeni mkahangaike nao huko sisi hatuoni Jipya katika dhana za kipuuzi kama hizo
Tunajua yote. Ila kutema yai ni njia moja ya kupima uelewa. Hiki kigagula cha kigogo ni 0 brain. Msikilize hata katika maongezi yake ya kawaida tu. A really primitive creature.
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
16,105
2,000
Chadema 2025 twende na Ulimwengu
Una akili finyu na fupi mkuu.Si kila anayepingana na watu wa serikali ni chadema.Sijui una akili za namna fani aisee!Huyo ulimwengu na Ndugai wote ni wana ccm.Ulimwengu ccm ya Nyerere Ndugai ya kizazi kipya.Wanasuguana wao kwa wao,sasa chadema inatoka wapi hapa?

Komaa akili hata kidogo uweze hata kuendesha family yako
 
Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
748
1,000
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
Niliposoma 'kwa Kiingereza' sikuwa na hamu ya kuendelea na mada. Kwa nini Watanzania wapangiwe kujadili wao kwa wao jambo fulani kwa Kiingereza? Kwa mtu anayejifunza Kiingereza hapo sawa. Lakini kama nia ni kuchambua hoja zinazohusika, hakuna mantiki kufanya mdahalo kwa Kiingereza. Mtu atakayezidiwa huenda ikawa ni kwa sababu ya lugha tu na si kwa hoja alizonazo.
 
Mczigga

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
341
1,000
"Napenda kuona watu wakifokeana kwa kingereza" kumbe ni mawazo yako kwakua una mapenzi binafsi na mabishano ya kingereza,
Cha msingi uwepo mdahalo kati yao na uwe wa lugha ya kiswahili wenye kujenga hoja kwa kila mmja na sio mabishano itasaidia na wasiojua kingereza kuelewa.
 
Top leader

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
1,166
2,000
Ahaaaa

Bunge zima lile Tundu Lissu na Mbowe ndio waliokuwa wanajua Kiingereza cha kuongea fluent

Kinrara wao alikuwa Dk Mahiga, Dk Mahiga alikuwa ndio nguli wao wa kuongea fluent English

Acha kumfananisha Jenerali Ulimwengu na Spika

Jenerali ni balaa kwa kiingereza

Soma makala zake au Mahojiano yake
Washamba kama nyie hamshi tu nendeni mkaishi ulaya kingereza ndo nn
 
Top leader

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
1,166
2,000
Mtoa mara ni mshamba na wajinga watamsapoti kingereza ndo kamchukue mtoto wa miaka 8 alyezaliwa uingereza kwa vile anajua fluent English aje kuongoza nchi

Hii ndo maana wengi mnashabikia lisu na mange kimambi Lisa kingereza wanashikia akili Sana hamjitambui
 
Musundi

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,422
2,000
Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi. Huu utumwa mnaoukimbatia unawasahaulisha kwamba mko huru.

Tufike pahali tujue lugha ni nyezo tu ya mawasiliano na wala si uwezo wa kuchanganua na kupambanua mambo.

Anyways
Ndugai ana shida zake kama Twaha alivyo na uzandiki na chuki zake dhidi ya utawala
Mmekaririshwa tu MKO HURU. Uhuru wenu uko wapi wakati hata kuandika kitu hapa unaedit mara 1o -1o, usiwakere watu fulani wakakushughulikia!!!! Hahahaaha..,Uhuru wa bendera Wallah!!
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,576
2,000
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
Huo mdahalo watakua wanawafanyia waingeleza au ni kwa manufaa yo wenyewe?
Kwa nini wewe usitake wafanye kwa kiswahili ili wengi wa watanzania wajue nini kinaongelewa?

N wakisha ongea kingdleza wewe unanufaikaje?
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,993
2,000
Mtayarishe tauro la kudekia na panado...the the the mate kibao.

Panadol kutumiza maumivu ya kichwa..
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,366
2,000
Huyu Twaha aende UK hapa Tanzania hatumhitaji
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
2,728
2,000
Kiingereza ni lugha tu, uelewa upo kichwani mwa mtu.
Lakini pia kwa Mtanzania kushindwa kumudu lugha ya Kiingereza inaashiria uwezo mdogo wa akili. Ina maana hufundishiki. Umefundisha Kiingereza elimu ya msingi, sekondari, chuo kikuu, bado huelewi! Wewe ina maana hufundishiki.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,067
2,000
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
unataka ulimi wa spika ukatikekatike, ukitaka kumjua mtz kuwa ana hasira mwambie ajieleze kwa kimombo, hasa hao wanaojifanya kutishatisha wenzao. atatifua vumbi na visigino chini hapo hadi akome.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom