Uandaliwe Mdahalo wa Kiingereza kati ya Spika Job Ndugai na Jenerali Ulimwengu kuhusu siasa za ubepari

antimatter

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
21,338
2,000
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
Hahaha..
Job ataangukia pua mapema sna!
 
Bushesha jr

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
539
1,000
Ahaaaa

Bunge zima lile Tundu Lissu na Mbowe ndio waliokuwa wanajua Kiingereza cha kuongea fluent

Kinrara wao alikuwa Dk Mahiga, Dk Mahiga alikuwa ndio nguli wao wa kuongea fluent English

Acha kumfananisha Jenerali Ulimwengu na Spika

Jenerali ni balaa kwa kiingereza

Soma makala zake au Mahojiano yake
Mbowe hajui kiingereza acha ungese

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,654
2,000
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie kati ya Jenerali ulimwengu na Mheshimiwa Job Ndugai

Mdahalo huo utamaliza na kuweka wazi ukweli ni nani mwana ccm mwenye hoja kwa lugha ya Kiingereza kati ya Ulimwengu na Ndugai

Mwambieni Spika Ndugai mwana ccm mwezangu atamke kwa kiingereza maneno HAYA"BUNGE HALICHEZEWI, BUNGE LIMEDHARAULIKA "

Napenda kuona watu wakifokeana kwa kiingereza

Kuna wana ccm kelele nyingi lakini wakifika kwenye Kiingereza utasikia

The...... The.......
Mmmmmh....

mmm, Of course

Yes,...

Yes

Wengi ya wana ccm Kiingereza ni shida sana

Hakika tutakukumbuka Benjamin Mkapa kwa Kiingereza safi, Uliweza kufoka kwa Kiingereza, Hawa wa sasa kelele za kiswahili tu ukiwa weka na Beberu toka ulaya hamna kitu
Tunaomba mdahalo uwe kwa mtandao wa skype au zoom ....maana kuna watu wana file mirembe huko itakuwa shida ......sheria zinawatambua hao ma zuzu fresh
 
Kirokonya

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
1,961
2,000
Lakini pia kwa Mtanzania kushindwa kumudu lugha ya Kiingereza inaashiria uwezo mdogo wa akili. Ina maana hufundishiki. Umefundisha Kiingereza elimu ya msingi, sekondari, chuo kikuu, bado huelewi! Wewe ina maana hufundishiki.
Mkuu wangu, Elewa, kutokujua kiingereeza siyo kipimo cha uwezo mdogo wa akili.
Amkaaaaa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom