ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Huyo mwanaume wewe ndio mkwe wake? Yaani amekuolea binti yako sasa anakukera kuishi kwako? Kama sio jali maisha yako hujui mipangilio ya wengine.Naamini hamjambo kabisa japokuwa maisha ngangari lakini tuna endelea kugangamala kiubishi. Naomba kuwasilisha hii hoja ya kijamii inayoathiriwa sana na uchumi. Utakuta mwanaume anaolea ukweni anazaa watoto hadi watatu hana kiwanja wala dalili ya kuhama japo akapange. Sasa najiuliza huyu anaweza kumwacha mke au ataachwa yeye.Na msemaji wa familia ni yeye au babamkwe au mkewe? Naona kama imekuwa kawaida siku hizi au ndiyo tunaendana na wakati.?
Wenzangu mnaonaje hii.
Mkuu umepotea!Uanaume wa mwanaume ni mshedede tu...
Mie sina shemeji mkuu na hata nikiwa naye kwangu hakai,akioa atahama tu.Yani umeamua kumuanika shemeji yako mitandaoni.ni bora ungemwambia dada yako kuliko kumuanika shemeji yako hivi
Kwani huu ni ukumbi wa malalamiko?sikujua.Heeee Yamekukuta yapi mpaka ukaja lalamika hiviView attachment 467149
Eeh mshedede wa hajaUanaume wa mwanaume ni mshedede tu...
[emoji85] [emoji85]Eeh mshedede wa haja
Angalia upande wa pili mtu ametoka kwao kaja kwenu anakaza dada yako, anatengewa maji ya kuoga etc. huyo ni kidume amewaoeni. Adhani huyo ni kidumekila mtu na maisha yake na mipango yao
shauri yaoAngalia upande wa pili mtu ametoka kwao kaja kwenu anakaza dada yako, anatengewa maji ya kuoga etc. huyo ni kidume amewaoeni. Adhani huyo ni kidume
Nikifikia wakati wa kuoa lazima nihamie ukweni ili niwe kidume au siyo Mwalimu?shauri yao