Saint Murano
Member
- Mar 31, 2019
- 97
- 264
KAbisa naamini hata mimi.Mungu atafanya maajabu tu
Hao ndo wakuhurumiwaBora we unawaza yakula. Kunawrngine wanawaza watatoka lini wodini na nani atalipa gharama
Ukiongea tu kilimo ,bhasi umelima umepanda, umevuna, na kupata hela , hakuna kinachohitajika zaidi ya hilo neno kalime? Ukisema hivyo tu kila kitu freshMnachagua kazi tu. Kuna lukuki nchini mwetu yako yako tu kibwererebwerere nenda huko ukayafyeke Uza kuni na ujikite kwenye Kilimo
Hakika mkuu pale tunapoishia ndipo Mungu anapoanzaMungu atafanya maajabu tu
Dogo nimekupa ushauri mzuri bado unabaki kuleta porojo humu. Kumbuka mtaji wako ni nguvu zako mwenyewe.Ukiongea tu kilimo ,bhasi umelima umepanda, umevuna, na kupata hela , hakuna kinachohitajika zaidi ya hilo neno kalime? Ukisema hivyo tu kila kitu fresh
Mnachagua kazi tu. Kuna lukuki nchini mwetu yako yako tu kibwererebwerere nenda huko ukayafyeke Uza kuni na ujikite kwenye Kilimo
Dogo nimekupa ushauri mzuri bado unabaki kuleta porojo humu. Kumbuka mtaji wako ni nguvu zako mwenyewe.
Zama chaka ukachangamkie fursa huko acha kulialia.
Gringo wa Ukaldayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaah mkuu mungu n mwema kila wakatiHakika mkuu pale tunapoishia ndipo Mungu anapoanza
Yaah mkuu mungu n mwema kila wakati
Easy said than done. Muulize Mabala wa kwenye Mabala the Farmer.Mnachagua kazi tu. Kuna mapori lukuki nchini mwetu yako yako tu kibwererebwerere nenda huko ukayafyeke Uza kuni na ujikite kwenye Kilimo
unawajua maliasili wewe ?Mnachagua kazi tu. Kuna mapori lukuki nchini mwetu yako yako tu kibwererebwerere nenda huko ukayafyeke Uza kuni na ujikite kwenye Kilimo
Jaribu kuwa mwanamke basi