Mkuu,mfano ww ndo ungekuwa rafiki wa jamaa..ukashauriana na mwenzako akakataa usiende. Ni kweli usingeenda?
Kikubwa ni kuwa tunatafuta maisha na mzazi anajua mwanaye kwa elimu aliyonayo jeshini panamfaa.
ningejadiliana Pros and Cons za pande zote mbili , na kwakuwa alichonacho yeye ni perceptions tu na siyo ukweli tungefikia muafaka tu............ na zaidi kama angeshilia msimamo , maisha hayana foRmula nisingeenda.
Moja ya jambo ambalo sintoweza,ni kufanya maamuzi kwa matakwa/kumfurahisha mwanamke nisiyekuwa na mkataba naye wa ndoa.Katu,never happen.
Hayo alioona huko hakuyaona kwa watu ambao sio wanajeshi?Nimekupata mwali. Ulichokisema nilimwuliza rafiki yangu akaniambia kuna ndugu yake ambaye ameolewa na msolder na ya yeye mwenyewe alishakaa kambini kwa huyo ndugu yake, inawezekana ndo kinachomfanya aone kuwa wako hivo, kuna mambo ambayo ameyaona.
exactly correct honorable.Tell her that, if she doesn't like something in her life, she should change it,
If she can't change it, she should change the way she think of it. :thumbup: