Uamuzi wa Serikali ya awamu ya tatu kuuza nyumba za serikali ulikuwa sahihi, Oysterbay imeshaini kwa majengo mazuri. Ya Dodoma yametimia

Kuhusu yule jamaa aliyetumia nafasi hiyo kusimamia uuzaji wa hizo nyumba na kuwahonga hawara zake, na nyingine kuwapatia ndugu zake, wewe unasemaje???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliuza nyumba au walijipigia pande?
Mnauza nyumba za wafanya kazi serikalini
Huku sahvi kuna matatizo ya wafanyakazi sehemu ya kukaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Wana jf

Mwanzoni watu walilalama sana uamuzi wa serikali kuuza nyumba zake, hii imeleta matokeo chanya na faida nyingi.

Kwanza imewaondolea watumishi wa umma hadha ya kufukuzwa katika nyumba hizo kwani walikuwa wanajisahau sana kwa kupewa kila kitu bure. Sasa hivi kila mtumishi wa umma anaogopa aibu akipata vipesa vyake ukimbilia kujenga na kufanya maendeleo mengine. Oysterbay na maeneo mengine ambaya ni makubwa tulishuhudia watu wakiyafanya makazi haya kuwa ya mifugo ili kuongeza kipato.

Mandhari ya majumba yanayojengwa kwa sasa katika mji Wa kibiashara Dar, Oysterbay na masaki na msasani yemechomoza majengo mazuri muno yamepambika sana kiasi cha kuwa kivutio.

Uuzwaji Wa nyumba hizi umeondoa ule ubabe Wa vijana ambao walikuwa wakijimwambafai kuwa wamezaliwa kwenye maeneo hayo ya heshima sasa hivi ukiwa na fedha unanunua apartments au unapanga.

Vizazi vilizaliwa maeneo haya vilikuwa vizazi vya ubwanyenye ndio walikuwa na tabia za kifisadi kutokana kwamba katika serikali za awamu ya kwanza mpaka ya tatu watu wakiingia kwenye nyumba wanakaa hata miaka 50 utadhani ya kwao.

Serikali imefaidika kuziuza mapema kwani ilipoamua kuamia Dodoma hata majengo yangebaki magofu kwani ni ya zamani na yalikuwa yamechakaa sana hivyo ingekuwa vigumu kupata wapangaji.

Mwisho Watanzania tuache lawama kuwa serikali inatumia Pesa nyingi kuwakodishia watumishi Wa umma majengo badala yake wale waajiriwa waweke bidii nao kuwa na sehemu zao. Hata hivyo watumishi hawa imeowaondolea kujitenga sana na jamii hivyo maendeleo tunayafanya kwa pamoja
Nyumba za walipa kodi wote mnauziana watu wachache halafu unaona ni sawa tu

Awamu ya tatu Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watabinafisha hata magereza. Hakujua kama wanauza hata Majengo ya serikali
 
Waliuziana Tanzania nzima. Unaongea nini?
raha ya kuuza watu huanzisha kitu kipya, angalia miji ya oysterbay na masaki inavyopendeza, kabla ya hapo kuna watu walikuwa wanafugia kuku na mbuzi kwa sasa ndio majengo yanayoiingizia faida nchi kwani majengo mengi ya baishara. serikali inakusanya kodi kuliko wangeayaacha watu wakafanya yao kisa wanakaa prime area. mjombo wangu amenunua nami nikitaka kulala oyesterbay nalala hiyo ndio raha
 
N uhalali wa kufanya hivyo ulitoka wapi? Inasikika vipi kuitwa mfilisi wa Taifa letu? Tuliza viwanda ambavyo asilimia kubwa havina tija yoyote tena, ndio mpaka nyumba za kuishi?
 
Wana jf

Mwanzoni watu walilalama sana uamuzi wa serikali kuuza nyumba zake, hii imeleta matokeo chanya na faida nyingi.

Kwanza imewaondolea watumishi wa umma hadha ya kufukuzwa katika nyumba hizo kwani walikuwa wanajisahau sana kwa kupewa kila kitu bure. Sasa hivi kila mtumishi wa umma anaogopa aibu akipata vipesa vyake ukimbilia kujenga na kufanya maendeleo mengine. Oysterbay na maeneo mengine ambaya ni makubwa tulishuhudia watu wakiyafanya makazi haya kuwa ya mifugo ili kuongeza kipato.

Mandhari ya majumba yanayojengwa kwa sasa katika mji Wa kibiashara Dar, Oysterbay na masaki na msasani yemechomoza majengo mazuri muno yamepambika sana kiasi cha kuwa kivutio.

Uuzwaji Wa nyumba hizi umeondoa ule ubabe Wa vijana ambao walikuwa wakijimwambafai kuwa wamezaliwa kwenye maeneo hayo ya heshima sasa hivi ukiwa na fedha unanunua apartments au unapanga.

Vizazi vilizaliwa maeneo haya vilikuwa vizazi vya ubwanyenye ndio walikuwa na tabia za kifisadi kutokana kwamba katika serikali za awamu ya kwanza mpaka ya tatu watu wakiingia kwenye nyumba wanakaa hata miaka 50 utadhani ya kwao.

Serikali imefaidika kuziuza mapema kwani ilipoamua kuamia Dodoma hata majengo yangebaki magofu kwani ni ya zamani na yalikuwa yamechakaa sana hivyo ingekuwa vigumu kupata wapangaji.

Mwisho Watanzania tuache lawama kuwa serikali inatumia Pesa nyingi kuwakodishia watumishi Wa umma majengo badala yake wale waajiriwa waweke bidii nao kuwa na sehemu zao. Hata hivyo watumishi hawa imeowaondolea kujitenga sana na jamii hivyo maendeleo tunayafanya kwa pamoja

Imeuza majengo au imeuza viwanja kwa thamani isiyo halisi kwa kupeana wao kwa wao
 
raha ya kuuza watu huanzisha kitu kipya, angalia miji ya oysterbay na masaki inavyopendeza, kabla ya hapo kuna watu walikuwa wanafugia kuku na mbuzi kwa sasa ndio majengo yanayoiingizia faida nchi kwani majengo mengi ya baishara. serikali inakusanya kodi kuliko wangeayaacha watu wakafanya yao kisa wanakaa prime area. mjombo wangu amenunua nami nikitaka kulala oyesterbay nalala hiyo ndio raha
Serikali inaingiza vipi pesa Hali waliiziana watu binafsi,ndugu, marafiki,maswahiba
 
Nadhani uliyaona hali yaliyokuwa NAyo, yalichoka sana, watumishi wengi hawakuwa wazalendo kutunza Mali ya serikali, sehemu walizijaza mbuzi, kuku ng'ombe sasa hivi usafi kama wote . kupitia majengo mapya serikali inapata kodi kubwa kuliko ambavyo yangekaliwa na watumishi
Ni ukweli usio na shaka watumishi wengi hawana uchungu na Mali za serikali kea kweli kwa tunajua Hali halisi ilivyokuwapo kwenye nyumba hizi best alternative ilikuwa ni kuziuza sababu Kama serikali ingezikarabati gharama ingekuwa kubwa sana.pia management ya nyumba hizo ilikuwa ngumu sana kwa sababu watumishi wengi waliishi kwa kazoea tu na walikuwa hawana uchungu na nyumba hizo.baada ya kuuza tu nyumba nyingi zimebadilishwa na kuleta sura nzuri katika eneo husika.
 
Nyumba ziliuzwa hata kabla sijajua maeneo haya. Baada ya kuyatembelea nikagundua kuwa kama wangeliyaacha kama yalivyo basi yangejenga matabaka
Kwa nakumbuka wakati tunasoma pale Arusha kuna shule moja inaitwa kibosho girls kulikuwa na matabaka makubwa ya waliotoka kajamba nani na wale wa osterbay na masaki.mashindano ya matabaka ya waliokuwa nacho yaani osterbay,masaki na wasiokuwa nach wa kutoka maeneo mengine yalikuwa duni.
 
kibosho girls ya arusha iko sehemu gani
 
Back
Top Bottom