Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
How Come!!
Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..
Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..
Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..