hahah its true but very harsh language kwa kweli......anyway you made my dayHujielew kwan vita vikitokea wanaoathirika si watoto na mama zetu ambao hawajui lolote....
Furthermore jitahd kichwa chako ukifanye kiwe na kazi nyingine zaid ya kufugia nywele
Samahani eeeeeeeeh Pole
ni mawazo yake ni vyema ukaweka hilo wazo lako lililo jema zaidi ili tujifunze zaid mkuuNdg Eng nadhani mipombe ya kienjeji imeshakutafuna
Mkuu naona nibora ukaweka dondoo/mbinu/mikakati ya namna ya kuanzisha hizo tawala unazo zisema.Kwaasili ya muafrika kwa asilimia kubwa hataki kuachia madaraka kirahisi kwamaana nyingine haamini kutawaliwa na mwingine.Unataka waafrika waishi bila kuwa na nguvu inayo kinzana na madikteta wa kiafrika halafu iweje?How Come!!
Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..
Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..
Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..
amka kumeshakucha, wacha kuotaNi nafasi ya mataifa ya kiarabu kusaidia Zanzibar,tena iwe kama dubai
Kuna kipindi zenji walitaka kujitenga kwa SBB za kujiunga na IOC Ili kupata misaada.that's why nawaambia huu ni muda muafaka kwa waarabu kusaidia ndugu zao wa zenjiamka kumeshakucha, wacha kuota
Tatizo lililopo ni kwamba "watawala hawapo tayari Zanzibar ijiunge na jumuiya yeyote ya kimataifa, kwani kwa kufanya hivyo kuna uwezekano mkubwa wa ZNZ kuinua uchumi wake kwa kasi na kupelekea kujiondoa kwenye muungano huu feki".Kuna kipindi zenji walitaka kujitenga kwa SBB za kujiunga na IOC Ili kupata misaada.that's why nawaambia huu ni muda muafaka kwa waarabu kusaidia ndugu zao wa zenji
Haya ni mawazo na ushauri wa Eng.?How Come!!
Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..
Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..
Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..
Wacha waende na Pesa zao zenye masharti lukuki...Tutayumba sawa kiuchumi lakini baadae tutakaa sawa!Misaada yao ndiyo imetufikisha hapa....
Tutavumilia tu,riziki anatoa mwenyezimungu
Hawajakwambia kama wanasitisha mahusiano....mbona huko mbali sana?..kweli wanatunyanyasa.. ila je tunaweza jitengenezea ARV au dawa zozote serious, wakizuia hakuna kutumia product yoyote ya kwao... ushawai waza microsoft, dell na other computer system kina oracle, lawson ni za kina nani?? au wakizuia product zote za kwao zisitumike nchini mfano catapillars bara bara zitatengenezwa na nini, tunawategemea sana wazungu kuliko tunavyojitegemea...
We eng unafikiria na kuandika kwa makalio....au?Siku zote mtegemea cha Nduguye hulalia bati lililo toboka.. kwani hatuwezi kujiuliza HAO WANAOTUPA HIYO MISAADA WAO NANI ANAWAPA MISAADA.
MISAADA haisaidii MISAADA ni UJINGA.. MISAADA NI ULEMAVU WA AKILI.. OMBAOMBA HAPANA SIKU ATAJINASUA ..
Ndio maana wanaweka masharti ya magumu.. Umaskini mkubwa ni kuendekeza DEZO.. stop DEZO.. Kabla hujamwomba mtu kitu jiulize umemfanyia nini inayostahili upewe ukitakacho? Jiulize pia kwani yeye mwenzio Kakipataje..jiulize pia kwani yeye kuna pahala anaombaomba kama wewe!!?
Stop OMBAOMBA ...