fisadigamba
Member
- Jul 20, 2012
- 29
- 4
Hapo ndio nashindwa kuelewa. cjui tutafika? Hv serikali si bora iongeze juhudi katika uokoaji kuliko haya mambo sasa?Nami nimeipata muda si mrefu. Ila cha kujiuliza; kwani walikuwa wakivunja amani hadi watawanywe kwa mabomu? Hii serikali yetu jamani!!!
isee hali sio nzuri
Picha kwa hisani ya Godwin mwaipembe
Hii sijaifurahia hata kidogo kama wamefanya hivyo!
serikali chokoziPicha kwa hisani ya mdau wa Twitter.
Jeshi la Wananchi !!! Hapana, hao watakuwa Jeshi la polisi na KMKM.