Ponera
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 556
- 87
Acha ushabiki usiokua na maana, watu kuwaombea dua waliokufa ni kosa au hadi upate kibali? wamefuatwa msikitini.nidhamu ni kufuata sheria na kutii taratibu au miongozo iliyowekwa! hivi hawa watu wa uamusho ni watu gani hasa mpaka wanachoamini wao kiwe ndicho sahihi tu na siyo kingine> uamsho upo kwa madhehebu yote iwe ya kiislam ama kikristo lakini siyo kwa namna hii, nashawishika kusema serikali ichukue hatua madhubuti hata ikiwezekana kuwashughulikia kwa hali na mali hawa ni alshababu kwa jina jingine? swala la kuzama kwa meli au ajali si chanzo na wala si wakati muafaka kufikia huko badala ya kushirikiana na serikali yao kuweza kuona namna ya kujipanga na namna ya kurekebisha kasoro zetu, nashawishika kusema kuwa uamsho wanaweza kuwa na sehemu kwenye ajali hiii. na ndiyo wanakuja na conclusion inayofanana na mipango yao