UAMSHO wamjibu LUKUVI


Kamati ya Maridhiano Six:Lipumba na UKAWA watoka Bungeni 16 April 2014 - YouTube
 
tuwe makini tusivuruge nchi, kutofautiana kusiwe kutoleana kashfa UAMSHO toka mwaka juzi wanazungumzia serikali 3 hilo ni kosa? mpaka wanasibishwe na magaidi
daima anayedai haki huonwa kwa jicho baya. lukuvi alivyo shabikia kikombe cha babu loliondo kwa magonjwa yake mlimuona shujaa watu wengi wakafa kwa kufuata ujinga tujihadhari kashfa hasa kwa taasisi za dini.
 
Look-V lini aliongea la maana???lini????wapi????na ilihusu jambo gani???,
tuje huyu mkata viuno Mwenye jina la mnyama anayependa kunywa pombe kwenye minaz nae lini aliongea jambo la maana,wapi na ilihusu nini??kwa mara ya mwisho aliropoka ataingia Porini,sasa jina lake la mnyama why asiingie porini,Tanzania si tu inahitaj wasomi,pia wasom wenye nia ya dhat ya kuleta maendeleo,sasa Bungeni kuna darasa la 7 ambao hata muda wa kusoma,kuchambua na kutafakari hawana,zinaletwa hoja wanatukanana tuuu,hapo hakuna tija tunadanganyana,haya tunadhan vijana wataenda bungen kuleta mabadiliko chanya nao wamepata umaarufu kwa matus,kebeh na vijembe,haya wamepelekwa akina mama ili kuleta usawa wa kijinsia na kujadiliana kwa mapana,nao wanatukana na kupiga vigelegele na kuwaita wenzao hawawez kugegeda,haya tunasema labda wazee wataleta busara basi,nao wanasinzia na kushabikia vijembe,hivi leo nani ataniambia kuwa Tanzania hii itasonga,kwa lipi???siku ya 67 leo bunge la katiba halijapitisha ibara hata moja,yaan watawala wanatuletea masikhara sisi wananchi,na wananchi tunawachekea wanaotuletea masikhara,yanayotokea bungeni tunayachekea ila mjue wale wamelewa sifa na pesa,wameshiba ndio maana wana mizaha,mtu mwenye njaa huwa hana mzaha,wanaiharibu nchi na wanazidi kujiongezea kipato,tunapaswa kutambua maadui wa nchi hii ni wanasiasa na wasomi wanaojichekesha kwa wanasiasa,,,kuna watu wanafanya sana kazi,ila wanaona kuwa wanasiasa ndio wanaowaangusha,sijui nani anaweza kuliweka sawa hili.ila linaonekana lishakua la kawaida,ila naamini tukiwapuuza wanasiasa huenda tutafanikiwa
 
Vizuri! Mbona sasa Poli CCM wanakataza UKAWA kufanya mikutano kama CCM? Mbona wana Hofu hivyo? Mmeachiwa mtengeneze katiba ya Lumumba wekeni na rangi ya kijani kabisa. Lukuvi aombe radhi tu halafu ajiuzulu

CCM wanafanya mikutano bara. Wameambiwa waje bara wafanye mikutano yao huko waliko watu wako busy, waje huku tuwasute!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…