Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

Tusiukashfu uislamu na waislamu kwa sababu tu ya hao wanaojiita "JUMIKI".....Waislamu wa zanzibar mara nyingi hubeza bara hakuna waislam wa kweli......hivyo kuna waislamu wanaoifahamu dini na umuhimu wa dini na kuenenda kama quran tukfu inavyosema.....hao wachache utakuta hata misikitini hawaendi,wamesikia uamsho wakanunua kanzu na baraghashia.
 
Inanikumbusha chadema walipoenda Arusha Polisi kutaka kuvamia kituo kuwatoa wenzao, waliuawa ikawa mwao, vipi leo kwa Wazanzibari? au mkuki ni kwa nguruwe tu?
 
303313_10150805900486176_721596175_9887001_1467272456_n.jpg

huyo aliovaa msulisijui ni blue au zambarau...duhhhhh...mmmmh mmh mmmh....
 
Inanikumbusha chadema walipoenda Arusha Polisi kutaka kuvamia kituo kuwatoa wenzao, waliuawa ikawa mwao, vipi leo kwa Wazanzibari? au mkuki ni kwa nguruwe tu?

hao wa arusha walikuwa wakidai nini...?nao hao wa zenji walikuwa wakidai nini..?na ilichukua mda gani..?
(soma principles za research kabla hujafanya comparison...ya kitu chochote....!)
 
Kwa kuwa UAMSHo inafanya siasa haiwezi kukwepa lawama kwenye yaliyotokea hapa,mtu akijengwa kiima anaweza kufanya jambo lolote,so huu ni mwanzo wamatukio mengi yanakuja mbeleni.
 
huyo aliovaa msulisijui ni blue au zambarau...duhhhhh...mmmmh mmh mmmh....

Katika moja ya mihadara ya UAMSHO 26/052012. Mada: Histori ya Zanzibar. Shk mtoa mada pomoja na kutia Chumvi na kupindisha Histori kwa anavyopenda yeye isomeke pia alinukuliwa akisema "Wazanzibari wote ni Waarabu".
Najaribu kuangalia picha hizo za video na hizi za Matukio yaliyojitokeza jana na leo, nimeshindwa kabisa kuona Waarabu. Wamo watu wachache wanaoonekana kuwa na ASili ya Kiarabu, na sana utawaona kwenye safu za mbele na wale viongozi Wawili walo wasemaji wakuu/wakuaminika shkh FARID na AZAN. Hao wana Asili ya Kiarabu.
Kuna msemo kuwa Picha inatoa tafsiri/maneno 1000. Picha hizi zinatoa neno moja tu.
Loud and clear kuwa "Wazanzibari wote si Waarabu".
Na hii inaleta Mashaka UAMSHO na UARABU safari hii inaelekea wapi?
Zingati sifa alizopewa Sultan Said Said na mtoa mada utaiona Kasumba ilivyowajaa na namna gani wako tayari kuuburuza Umma wa Wazanzibari walikojitoa miaka 47 iliyopita!!
303313_10150805900486176_721596175_9887001_1467272456_n.jpg
 
Tuseme kweli, vipi kama Msikiti mmoja ungekuwa umechomwa huko Sumbawanga vijijini? Hakika nakwambia, Zanzibar miji yote nchini nchini wangeandamana kulaani vikali kitendo hicho! Leo kanisa limechomwa, nataka kusikia kauli za waislam. Na kuanzia kesho nitakuwa Manzese kusikiliza mihadhara nione watasemaje...
 
Hao UAMSHO hawana lolote na hili ni tatizo la kutokuwa na elimu kichwani, wamekalia UNAFIKI TU, hawa watu wana matatizo sana, na pia hiki kikundi cha KIHUNI CHA UAMSHO ni Nani amewaambia Zanzibar hapakuwa na waislamu kabla ya Muungano, wakishakutana kwenye vijiwe vya kahawa wanadanganyana tu.
 
most of tym siwapendi police jinsi wanavyo wapiga watu hasa pale wanachuo wanapodai haki zao, lakini kwa hili la kuwashughulikia hawa jamaa wanaojiita uamsho mpaka wana kuwa usingizi badala ya uamsho nawasifu
 
Sina comment nasubiri tu matokeo KWANI NI HATARI SANA UDINI UKIANZA NCHINI WENGINE TUNA WAKE WA KIISLAAM JE ITAKUWAJE? nisaidieni
 
Hata wakisema hapana lakini ukweli utabaki paleplae hayo ndiyo mafundisho ya waislamu msikitini kuwa mkristo. Watoto wamefanya walichofundiswa. Hiyo ndiyo dini yenyewe. Ndiyo uislamu huu. Dini ya kuuwa watu wengine na kujiua wenyewe.
 
Tuseme kweli, vipi kama Msikiti mmoja ungekuwa umechomwa huko Sumbawanga vijijini? Hakika nakwambia, Zanzibar miji yote nchini nchini wangeandamana kulaani vikali kitendo hicho! Leo kanisa limechomwa, nataka kusikia kauli za waislam. Na kuanzia kesho nitakuwa Manzese kusikiliza mihadhara nione watasemaje...

Kumbe hao UAMSHO ni waoga subirini muone moto utakavyowaka mmeuanzisha wenyeeeeewe.
 
img_7251.jpg
THE ASSOCIATION FOR ISLAMIC MOBILISATION AND PROPAGATION

P. O. BOX: 1266
Tel: +255-777-419473 / 434145-
FAX +255-024-2250022
E-Mail: jumiki@hotmail.com
MKUNAZINI ZANZIBAR

Tarehe 27MAY2012

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kila sifa njema anastahiki ALLAH (S.W) na Rehma na Amani zimuendee
Mtume Muhammad (S.A.W), ahli zake, Maswahaba zake na walio wema katika
Uislamu.

Jumuia ya UAMSHO inatoa taarifa rasmi kwa umma wa Wazanzibari na
Watanzania wote kwa ujumla kwamba haihusiki na vitendo vyote vya
uvunjaji wa amani vilivyotokea usiku wa tarehe 26 Mei 2012. Kama
alivyosema Mtume (S.A.W) katika Hijatul Wadaa, kwamba ni haramu
kumwaga damu zenu, kuharibiana mali zenu, kuvunjiana heshma zenu ila
kwa haki ya Uislamu (maana yake pale mtu anapofanya kosa na
likathibitika atahukumiwa kwa hukmu ya Kiislamu). Vile vile Uislamu
unaheshimu nyumba za ibada (Makanisa, Mahekalu na n.k) zisivunjwe wala
zisiharibiwe.

Jumuia inatoa wito kwa Waislamu na Wazanzibari wote kuendelea
kudumisha amani na utulivu wa nchi na kutoharibu mali za serikali,
mali za wananchi, mali za taasisi za dini zenye imani tofauti, kwani
kufanya hivyo ni kwenda kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislamu.
Jumuiya inayachukulia matukio yaliyotokea usiku wa jana, na
yanayoendelea tangu alfajiri leo, kama ni njama za makusudi za wale
wasioipendelea amani nchi hii, pamoja na kutaka kuipaka matope jumuiya
na kutaka kuzuia lengo la Wazanzibari kudai nchi yao.

Tunatoa wito kwa Jeshi la Polisi na Vyombo vyote vya Dola wafanye kazi
zao kama wanavyotakiwa kwa mujibu wa muongozo wa haki za binadamu kwa
Polisi na vikosi vingine unaosema kwamba polisi na vyombo vingine vya
dola wana jukumu la kutunza amani na utulivu na jukumu la kutoingilia
haki za watu. Kila mtu anayo haki ya kuwekewa mazingira muafaka ya
kitaifa na kimataifa yatakayomuwezesha kupata haki zake za binadamu.

Polisi na vyombo vingine vya dola wana jukumu la kutunza amani na
utulivu na jukumu la kutoingilia haki za watu isipokuwa tu kwa minajil
ya kulinda haki za wengine.

Polisi na vyombo vingine vya dola wana jukumu la kuheshimu, kulinda na
kutetea haki za binadamu kwa watu wote.

WABILLLAH TAWFIQ
 
please wait...there is another program of the type running on this machine....do you want to continue?
 
WANAOGOPA NINI??NDIO MIPEMBA ILIVYO INAOGOPA MOSHI ILHALI HAIJAONA MOTO,KOMAAENI N UHAINI WENU,RAHA YA KULA NYAMA YA MTU SI MNAIJUA,MKIMALIZA MUUNGANO MUANZE SISI WAPEMBA NA WALE WA UNGUJA
hahahaaaaaaaaaaa

M4C ITAKUJA KISIWANDUI SOON
 
Back
Top Bottom