Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

Hawa watu hawataki kuelewa tatizo ni nini. Tatizo siyo kuchomwa makanisa kwani hilo ni matokeo tu. Tatizo ni mihadhara yao iliyojaa chuki dhidi ya Wakristu na Watanganyika (watu wa bara). Unapopandikiza chuki hizi huwezi kukana matokeo yake. The rhetoric of hate beget acts of hate! Ukishamuitia mtu mwizi halafu watu wakampiga mawe huwezi kuruka na kusema ni makosa ya waliompiga mawe!

Kama mganga wa kienyeji anatangaza kila siku kuwa viungo vya albino ni dawa na kismati na anaweza kuwatengenezea portion ya dawa kutoka hivyo well hivi akitokea mtu anaenda kukata mwili wa albino na kumletea viungo mganga anaruka na kusema "miye nilikuwa natumia tu uhuru wa kutoa maoni"?

Uamsho should distance themselves not just from acts of violence against Christian institutions or mainlanders but also from hateful speech against the same.

Hili ni gumu sana kulielewa?
 
hata tukio la juzi wamelipinga kwa style ile ile.nadhani ni wakati muafaka wa serikali kuchukua hatua.watu wanafanya maovu halafu wanajificha kwenye kichaka cha matamko.
 
ila walipofikia ni pabaya..kitendo cha kuua askari ni kitendo kibaya sana na hili serikali isilaze damu umefika wakati/muda wa kukifuta kikundi hiki
 
ila walipofikia ni pabaya..kitendo cha kuua askari ni kitendo kibaya sana na hili serikali isilaze damu umefika wakati/muda wa kukifuta kikundi hiki

kuna siku wataanza kujilipua makanisani iwapo hatua hazitachukuliwa mapema iwezekanavyo.
hii style ya kufanya uhalifu halafu unakimbilia kutoa tamko la kulainisha mambo ni janja ya UAMSHO.
 
Back
Top Bottom