Kwa heshima na taadhima, tunaomba uongozi wa CHADEMA usisahau kupeleka mkutano wa M4C Zanzibar haraka iwezekanavyo, tena tunaomba sana Mheshimiwa Tundu Lissu apewe muda mrefu wa kuongea atapokuwa huko. Inaonesha kuwa CHADEMA imewaamsha Wazanzibari kutokea Jangwani ni vyema wakafika huko "LIVE".
kweli system at work..yaani linalokuja mdomoni tu unalitema ..mkutano wa jangwani na kuchomwa makanisa unajaribu kuunganishaje dot?...ile mihadhara yote ya uamsho hukuiona ?? nenda youtube kuna clip zote na zile za mfumo kristo
Hata mimi nimeshuhudia kwa macho yangu na kusikia kwa masikio yangu yule amiri wa muamsho akisema wataendelea kukomaa na muungano hadi kieleweke.wasamehe waliokutusi
Juzi nilileta mada yenye kichwa cha habari "M4C Zanzibar" nyuzi ilisema hivi:
Wengine wakanijibu bila kufikiri, kama hivi:
Leo kwa macho na masikio yangu kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku huu, nimemsikia Sheikh Farid wa Uamsho Zanzibar akiirudia kauli mbiu ya CHADEMA zaidi ya mara moja "mpaka kieleweke". Hakuna ataebisha kuwa huo ni msemo uliozoeleka katika uongozi na kila kada na mnazi wa CHADEMA.
Nawapongeza CHADEMA kwa kuwaamsha Uamsho kudai haki zao na ningependelea ushirikiano huo uzidi na kama Uamsho wanavyoiunga mkono CHADEMA katika harakati zao kwa kutumia kauli mbiu ya CHADEMA kwenye harakati zao ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuitumia fursa hii na kuungana na Uamsho Zanzibar wasaidiane katika M4C, inaonesha wazi kuwa Uamsho Zanzibar na CHADEMA wana uhusiano usio rasmi na yote ni katika kutafuta mabadiliko ya ukweli "Change".
Hongera CHADEMA, hongera Uamsho Zanzibar.

Hata km wamebambikizwa mahubiri yao yanaonyesha ndipo walikuwa wakielekea.Na waliofanya wameona kuwa hao jamaa ndio best candidates, kuchukua hiyo character. Vipi hayo makanisa mengine ktk 21?Si udini?mkubwa!unachosema ni kweli,Uamsho wanasema wao hoja yao ni muungano,walipoanza kufanikiwa ktk hoja yao serikal inaanza kuwazuia kuujadir muungano,hata swala la makanisa ni watu wamewapandikiza ili kuzima hoja ya muungano,lakin wao wanasema wanaungana na hoja ya serikal 3.na ndilo swala ambalo nimesikia ktk moja ya misikit leo hap dsm wakihamasishana kujitokeza j2 diamond kujadili namna ya kuwasaidia wazanzbar.
Duuuu! Tatizo mkuu kuungana na hao materorist hilo swala linaweza kurisk chama, pia tatizo hao uamsho hizo harakati walikosea kuchoma makanisa so na endapo CDM ikwaunga mkono tayar picha mbaya itajengeka kwa jamii so we should" let them eat them"
pia kauli ya mpaka kieleweke naona watakuwa wamcopy kutoka CDM but sio mbaya kama wanaitumia ktk ukombozi.
hao UAMSHO wapo under CIA watchlist for hate crimes and terrorism. hawana tofauti na boko haram na sera zao za kujitenga kwa kutumia udini. Source wikileaks.org
Hata km wamebambikizwa mahubiri yao yanaonyesha ndipo walikuwa wakielekea.Na waliofanya wameona kuwa hao jamaa ndio best candidates, kuchukua hiyo character. Vipi hayo makanisa mengine ktk 21?Si udini?
Chadema ni chama makini na viongozi makini kamwe hawawezi kuwa na uswahiba na makundi yenye mwelekeo wa kigaidi. Na unaweza kuona hata kamanda lisu itv alivokua makini kulielezea walivolichukulia hili issue kwa umakini wa kutoropoka coz cdm wanahitaji kura za wazanzibari ni tofauti na ccm walioropoka kuwa waziri ajiuzulu na dr shein kamkana
Hujaelewa nilichoandika ndio maana ulichoquote ni "Quote", hakifanani na ulicholenga.Sijui kwanini unauliza km nimesikiliza kwani hata km ulisikiliza wewe na halafu nikahdithiwa,nikasoma ktk media au hata kumuuliza husika bado angesema alichosema km hakijamletea shida ya kuhitaji badili.Nadhani hujamsikiliza Lissu leo kwenye ITV akihojiwa na Masako, usingeyasema uyasemayo.