Misingi hiyo hiyo ya kudanganyana, ndio njia pekee ya kujiepusha na stress za maisha ya kisasa haya. pamoja na ukweli kuwa kuishi maisha ya namna hiyo inapunguza ile ladha yote ya mahusiano ila ndio njia pekee ya kujiokoa. Dont expect anything and yet expect everything baasiiiii maisha yanasonga.
Kutokana na jibu lako sishangai kwanini mahusiano mengi ya siku hizi hayadumu!
Nimeamini kila mtu ana misingi yake katika mahusiano,I dont want to but i actually think what you have just said is insane....I can call myself old fashioned or primitive lakini kwangu mimi uhusiano unajengwa na uaminifu na kama hakuna uaminifu hakuna mapenzi,Itakuwa kupotezeana wakati na nguvu!Ndio tulipofikia huko ndugu yangu..Na hii ni failure kama jamii sema tu hatutaki kukitizima hiki kitu kwa umakini ila Society kama Society imefeli. Mahusiano yale yaliyokua na uaminifu na honesty hayapo tena. Sasa hivi ni mahusiano kutokana na presha, wakati umefika, financial gain, kutafuta watoto na vitu kama hivyo. So ukileta kuaminiana ndo utajikuta unapiga risasi mtu. Unakua easy tu na haujali chochote. Ye anadanganya na ww unadanganya maisha yanasonga. Ikija katika vile vitu vinavyowaunganisha mnakua page moja Thats all
Nimeamini kila mtu ana misingi yake katika mahusiano,I dont want to but i actually think what you have just said is insane....I can call myself old fashioned or primitive lakini kwangu mimi uhusiano unajengwa na uaminifu na kama hakuna uaminifu hakuna mapenzi,Itakuwa kupotezeana wakati na nguvu!
Mpendwa mimi49, wee niamini mimi tu !! nipe siri zako niziweke ndani kisima !!Nimeamini kila mtu ana misingi yake katika mahusiano,I dont want to but i actually think what you have just said is insane....I can call myself old fashioned or primitive lakini kwangu mimi uhusiano unajengwa na uaminifu na kama hakuna uaminifu hakuna mapenzi,Itakuwa kupotezeana wakati na nguvu!
Ha ha ha haya bana!ahsante kwa kunipooza!Mpendwa mimi49, wee niamini mimi tu !! nipe siri zako niziweke ndani kisima !!
Pole na baridi !!
Ha ha ha haya bana!ahsante kwa kunipooza!
Nikishakupa siri zangu zitakuwa sio siri tena!Umejua? kama ni mpozaji koo?
Ivo unajua urefu wa kisima cha mafuta na sii cha maji 10000mtr deep !! yaani hata nani haitoiii!Nikishakupa siri zangu zitakuwa sio siri tena!
^^
Nimekuelewa vema kabisa, kama hautachoshwa na udadisi wangu, Je kusamehewa kwa mwanamke kuna maana ipi ktk mahusiano?
^^
mkuu Himidini siwezi kuchoshwa in fact we are doing each other a very great favour!
sijui kama hoja yako nimeielewa mkuu naomba nichangie kwa namna nilivyoelewa nikiwa kinyume tafadhali nitakuomba urejee hoja yako.
kwa asili yetu wanadamu tumepewa uwezo wa kupendana na kushimiana(utii),hii ni "angle" moja katika mengi tuliyoumbiwa kuyatenda.
mwanaume kumpenda mkewe
mwanamke kumitii mmewe(kwa mujibu wa vitabu vya kidini),lakini ukifuatilia vizuri upendo ni neno ambalo ndani yake limebeba utii na uaminifu,ie mtu utayempenda utampa heshima na utamuamini na kumtendea kwa uaminifu,utii pia ni neno linalobeba upendo na uaminifu i.e kitu/mtu unayempenda ni rahisi sana kumheshimu tofauti na yule usiyempenda,
mwisho wa siku watu wanopendana wanabadilishana baina yao vitu vingi(they exchange between each other) lakini vya umuhimu ni upendo(uaminifu ,kujali,n.k) na utii baina yao kwa mafano ambapo simu inavyobadilishana mawimbi na minara ya mawasiliano kimoja kikizimwa kinazuia mbadilishano huu na tatzio mara nyingi linaanzia hapa,kwa kipindi hiki ndio pindi msamaha,uaminifu na uvumilivu unapaswa kutumiwa lakini wengi wetu hatufnyi hivi.
mapenzi na mahusiano ni kitu kinachokuja kwa kuambanatana vitu vingin,i.e ni kama cafeteria yaani upendo uje in "packages" uwe na uaminifu,kujali,kuvumilia n.k,pengine utahitaji kutumia uvumilivu pengine kujali katika kuyaimarisha mapendo baina yenu.
ndio maana nimetoa mfano wa cafeteria ya chakula kuna vyakula vya aina nyingi lakini mchana utaweza kuamua kula ugali lakini jioni ukala kitu tofauti,ndio hivyo kwenye mahusiono pengine unapswa utumie kujali kwa kiwango kikubwa wakti mwingine unapaswa kuja na kitu kingine zaidi na vyote hivi visukumwe na upendo na si ubinafsi.
msamaha ni kitu chenye faida(athari chanya)kwa watu wawili kwanza yule anaetoa msamaha anafutia yule anayesamehewa,msamaha unaotoa kama haukufaidishi wewe(haufadiki nao wewe pengine si msamaha halisi) hautakua na manufaa kwa anayesamehewa pia.i.e msahama wa kweli una vionyesho vingi(indicators) nyingi lakini kikubwa ni kuleta amani ya moyoni na furaha,hivyo msamaha kwa kuanzia utaleta furaha na amani kwa mtoa msamaha na hali hiyo ya furaha na amani itashia kwa anayeomba msamaha baada ya hapo kitakachotokea ni historia.
kwa kumalizi mtu yeyote anayekuja kuomba msamaha kwa kuwa kweli ameoliona kosa lake na kujutia haombi msamaha ilimradi haijalishi ni mmwaume au mwanamke kuna maana ya kutafuta nafasi ya pili ya kutengeneza palipokosewa.
Kuna mahali vijana tunajikwaa kwenye masuala ya mahusiano,tukishapajua tu basi,
assalam aleykum Himidini
^^
Waaleyku msalaam Mkoroshokigoli
Namwona mimi49 anaumia kwa sisi kutokuwa waaminifu, unamsaidiaje? Au una neno gani la faraja kwake?
^^
mahusiano yasiyo rasmi?^^
Blessed nimekuelewa sana! Na nimenufaika sana kwa uchambuzi wako, inakuwaje unapomsamehe mara 2 au zaidi na kosa linajirudia lile lile ktk mahusiano yasiyo rasmi?
^^
mahusiano yasiyo rasmi?
ndio maana mkuu nilisema kusamehe inahitaji kuwa "strong"(sijui niisemeje kwa kiswahili hii)
ugomvi na mifarakano haviwezi kuisha kwenye mahusiano lakini jiulizeni ugomvi na mafarakano yenu yanasukumwa /kusababishwa na upendp/mapenzi?
kama ndio,endelea naye kama hapana ni kufanya tafakuri ya kina tu hapa.
usiachane na mtu ambaye bado mnapendana kwa sababu yoyote ile(kama kwa busara zako bado unaliona penzi lake kwako toa nafasi nyingine na nyingine).
tunapoanza uhusiano tukumbuke tunakubaliana kuingia kwenye mahusiano ya wanadamu wawili dhaifu amabao wanaweza kuutumia udhaifu wao kuyafikia malengo yao na kuzidi kukamilishana siku kwa siku.
kuna msemo mmoja upo kwamba mapenzi ya tamthiliya mi nahisi tunapaswa kwende mbele zaidi ya hapo.