aljun raj JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 203 Reaction score 46 Apr 4, 2013 #1 hata kama kakokosea, kumkaripia mbela za watu ni mkudhalilisha! na nimuhimu sana kumuamini mpenzi wako kama kweli unampenda kwa dhati!
hata kama kakokosea, kumkaripia mbela za watu ni mkudhalilisha! na nimuhimu sana kumuamini mpenzi wako kama kweli unampenda kwa dhati!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Apr 4, 2013 #2 kama yeye kakukaripia je??
aljun raj JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 203 Reaction score 46 Apr 4, 2013 Thread starter #3 unamchunguza :eyeroll1:
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Apr 4, 2013 #4 haswaaaaaa!
P Polisi ben JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 303 Reaction score 83 Apr 4, 2013 #5 aljun raj said: hata kama kakokosea, kumkaripia mbela za watu ni mkudhalilisha! na nimuhimu sana kumuamini mpenzi wako kama kweli unampenda kwa dhati! Click to expand... mmmmmmh wengine vichwa vyetu @wenge ukinitibua nakupa nakoz za haja
aljun raj said: hata kama kakokosea, kumkaripia mbela za watu ni mkudhalilisha! na nimuhimu sana kumuamini mpenzi wako kama kweli unampenda kwa dhati! Click to expand... mmmmmmh wengine vichwa vyetu @wenge ukinitibua nakupa nakoz za haja
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Apr 4, 2013 #6 Polisi ben said: mmmmmmh wengine vichwa vyetu @wenge ukinitibua nakupa nakoz za haja Click to expand... ndio iwe mbele za watu??
Polisi ben said: mmmmmmh wengine vichwa vyetu @wenge ukinitibua nakupa nakoz za haja Click to expand... ndio iwe mbele za watu??
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 14, 2014 #7 aljun raj said: hata kama kakokosea, kumkaripia mbela za watu ni mkudhalilisha! na nimuhimu sana kumuamini mpenzi wako kama kweli unampenda kwa dhati! Click to expand... Wanawake wengine wanaudhi sana aisee, unakuta mnaongea sebuleni ila hilo lisauti analolitoa mpaka basi, wengine unakuta anatoka nje kabisa, hapo lazima umtie makofi.
aljun raj said: hata kama kakokosea, kumkaripia mbela za watu ni mkudhalilisha! na nimuhimu sana kumuamini mpenzi wako kama kweli unampenda kwa dhati! Click to expand... Wanawake wengine wanaudhi sana aisee, unakuta mnaongea sebuleni ila hilo lisauti analolitoa mpaka basi, wengine unakuta anatoka nje kabisa, hapo lazima umtie makofi.