Kosa linaanzia wakati wa uchumba, ndoa nyingi zimefungwa kutokana na uamsho wa tamaa na wala sio upendo wa dhati wa wanandoa.....Mwisho kile alichotamani kikiisha au kubadilika then ndoa imeisha.wadau tufunguke kuhusu nani kati ya mume na mke anayesababisha kutoweka kwa uaminifu katika ndoa, ambazo tunazishuhudia zikiwekwa nadhiri za uaminifu kwa mbwembwe na matangazo ya kutosha.
Je kosa linaanza lini wakati wa uchumba, baada ya kuoana au baada ya miaka kupita?
Je walaumiwe walezi wao, au mawifi na mashemeji ndugu au ni marafiki zao?
Tujitahidi kuwa wakweli.
Maudhi yapi yanachangia, na nani mwanzilishi wa hayo maudhi, je ni wao au ndugu au marafiki?Chanzo ni maudhi ndani ya ndoa baada ya kuchokana.
Ni vitu gani vinavyotamaniwa, fedha, mali, tamaa ya vitu, tamaa ya ngono ya kawaida, isiyo ya kawaida?
Na je wanakosa subira kwa mambo yapi, ya maisha, ya kazi ya ndoa, au familia.
don,t give simple answers for complex question.
chanzo chake ni tamaa vitu are you sure tamaa is the reason? how can you explain wanawake wanao honga wanaume?Could u Pls pick 4us one of these SAs Brother?
Je kuwa na ukwasi kwa wake ni sababu ya kuwafanya wakose uaminifu? Au yaweza kuwa wanatafuta kitu wanachokikosa toka kwa wenzi wao hivyo kutumia ukwasi wao au wa waume zao kutafuta kuridhishwa kiakili na kihisia!chanzo chake ni tamaa vitu are you sure tamaa is the reason? how can you explain wanawake wanao honga wanaume?