Zamani watu waliubeza sana ualimu.Wachache waliipenda kazi hii,miaka ya 2008 -2015 vijana walikula ajira bila kuomba.Tatizo nn mbona mahitaji ni mengi hasa shule za msingi?
Huyu mtu aliemaliza 2014 kurudi nyuma alikuwa na tatizo gani mpaka asiajiriwe wakati hiyo miaka wengi sana wameajiriwa.. samahani kama ntakuwa nje ya mada
Huyu mtu aliemaliza 2014 kurudi nyuma alikuwa na tatizo gani mpaka asiajiriwe wakati hiyo miaka wengi sana wameajiriwa.. samahani kama ntakuwa nje ya mada
Wengi walikuwa private school,sasa wanataka kurudi nyumbani maana kumenoga,Hata Kama hatupandi madaraja na hakuna increment wamesikia BOA bank riba 9%ukivuta ukaichimbia sehemu vizuri ikaota basi unaanza kula pensheni kabla ya kustaafu.
Hawawezi kuajiri tuu kwa sasa kwa sababu wengine washafanya mambo mengine... wengine washakufa.... wengine hawataki tena huo ualimu....so ilikuwa kuajiri wote kama ndo wametoka chuoni...lkn kuna wenye miaka 3 mtaani.
Huyu aliendesha boda boda..atakumbukwa scheme kweli? Acha waombe tuu