Ualimu taaluma zalilishwa

PATOXIC

Member
Nov 28, 2011
63
34
Baada ya wanafunzi wengi wa kidato cha Nne kutangazwa wamefeli, Baadhi ya wazazi wamesikika wakilaumu kuwa "Mwanangu amefeli hata ualimu hawezi kwenda. Hoja yangu hapa ni juu ya mtazamo wa jamii ya sasa juu ya taaluma hii muhimu kwa ujumla. Je, ninani ametufikisha hapa?
 
ualimu ni option ya mwisho baada ya kukosa kazi...yote ni sababu ya maslahi
 
Back
Top Bottom