mwalimu wa somo la dini aliingia darasani nakuanza kuwauliza wanafunzi maswali
mwalimu: mmoja aniambie ni nani aliemuua firauni?
mw'nz 1: mwalimu mimi sie
mw'nz 2: mwalimu mimi panya nashindwa kumuua nitaweza kumuua mtu?
mw'nz 3: mwalimu mimi ata jana sijaja
mwalimu kwa hasira akaenda kushtaki kwa mwalimu mkuu, mwalimu mkuu kwa hasira akaingia darasani na kuuliza swali lile na majibu yakatoka yale yale. mwalimu mkuu akamwita yule mwalimu pembeni akamuliza kwa siri "unauhakika muuaji yumo darasa hili?"