Ualimu bila elimu ni balaa .... Ona hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ualimu bila elimu ni balaa .... Ona hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tutor B, Jul 18, 2012.

 1. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wametangaza mgomo, lakini wako kwenye mchakato wa kuendesha sensa nchi nzima! Tuwaeleweje?
   
 2. R

  RC. JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maslahi kwanza mgomo baadaye walimu wengi ni maskini sana kuliko mfanyakazi yeyote wa serikali!!
   
 3. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 338
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hizo zote ni shida lakini kiharali wasingeshiriki,siku nyingine serikali ijaribu kutumia ma dokta ione.
   
 4. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama madktari wanaoandaliwa kwa 30,000,000/, liwalo limekuwa, je! walimu wanao andaliwa kwa 30,000/= itakuwaje!, akili za kuambiwa, changanya na za kwako. Bora tule za sensa, ukigoma Tanganyika, atajali nani?????????
   
 5. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  walimu ni movies za kinaigeria hawana jipya
   
 6. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wakulima w kawaid watagoma kwanza,
  ndipo walimu walau wachache watagoma.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Huwa nikikutana na waalimu wangu wa praimare, naskia uchungu sana aisee. Walivyonifundisha kwa moyo, accepting nothing less. Dah, ache wale visenti walau.
   
 8. N

  Nambombe Senior Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waalimu ni wanyonge
   
Loading...