Uagizaji wa incubator machine

Uagizaji wa incubator machine

BABA KO

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
43
Reaction score
9
Habari zenu wakuu!
Naomba kufahamishwa taratibu na gharama za uagizaji wa mashine ya kutotolea vifaranga toka nje ya nchi zinakuwaje ?
kodi kam zipo ni kiasi gan?
ghrama za bandari pia .
 
Nina kaka yangu yupo Kibaha Maili moja anatengeneza hizi Incubator hapo hapo Kibaha! Pia yeye Ni Agent wa hizo machine Kama ukiitaji Za kutoka china Au Ujerumani . Ni Makini na Muaminifu sana hana longolongo kwenye kazi zake . Number zake hizi 0754 569 381 jina Abdallah . Piga mwambie nimeelekezwa na mdogo wako utapokelewa na kuhudumiwa vizuri pia anazo mashine ambazo zipo tayari sokoni na hata ukitaka kupeleka mayai ili utotoshelewe tu na kuondoka na vifaranga vyako vikiwa na afya bora Kwa mashine zake binafsi pia hilo linawezekana. Karibu sana Mkuu
 
Back
Top Bottom