Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,906
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani watu walioagiza/kununua Vifaa vya Usafirishaji nje kama magari, pikipiki, baiskeli na vinginevyo thamani yavyo ilifikia $738.1 sawa na TZS1.9Trilioni baada ya Rais samia kuingia madarakani vifaa vya usafiri na usafirishaji vilivyoagizwa nje vilifikia thamani ya $1,892.0 sawa na TZS5Trilioni ikiwa ongezeko la 20.4%. sawa na ongezeko jipya la TZS3.1Trilioni.Hii inaashiria kuwa Watanzania sasa na wao wanabadili magari kulingana na namba ya gari au mwaka iliyotengenezwa.