Uadui baada ya mahusiano kuvunjika

Uadui baada ya mahusiano kuvunjika

Akiwa anakutukana we mrudishie tabasam...atajiona mjinga mwenyewe ataacha!
 
Jamani kuna binti nlikua natoka nae sasa wivu umemzidi nkaamua kukutengana nae cha ajabu kanianzishia bifu daily ananitukana hivi nikienda kumshtaki police ntakua nimekosea!??
Mkuu kuwa mtu mzima ukitukanwa haufi wala hupungukiwi kitu kumbuka ukimya tu ni silaha tosha hivyo kama anakutukana kwa sms usijibu chochote kaa kimya ila sms usizifute zibaki kama ushahidi endapo lolote likatokea mbele na kama akipiga cm usipokee weka silence au kata mwishowe atachoka atajiona mjinga na kama ana akili baadae ataanza kuomba msamaha tena
 
Kama kakutukana tusi jipya sawa,kama ndo yaleyale achana nae tu.
 
Au isije ikawa anakuambia madhaifu yako wakati mlivyokuwa pamoja kwa mfano:
1. Mwanamme gani wewe una govi
2. Li mtu lenyewe hujui hata kuniandaa kimapenzi unarukia tu na kukojoa ndani ya sekunde 17
3. Unanuka mdomo, hufui chupi na vesti
4. Kila uki ejaculate lazima ujambe
5. Hela huna, nguvu huna hata mvuto huna
6. Mwanamme wee usiyejua hata kunyoa nywele za uumeni
7. Pesa ya hotel nilikuwa nalipa mie hadi vinywaji
8.Jifunze kupiga mswaki meno yako yana ukoko
 
Kama mlijiandikishia police hayo mapenz yenu nenda broo vituo c vingi tu!!!!!!
 
Au isije ikawa anakuambia madhaifu yako wakati mlivyokuwa pamoja kwa mfano:
1. Mwanamme gani wewe una govi
2. Li mtu lenyewe hujui hata kuniandaa kimapenzi unarukia tu na kukojoa ndani ya sekunde 17
3. Unanuka mdomo, hufui chupi na vesti
4. Kila uki ejaculate lazima ujambe
5. Hela huna, nguvu huna hata mvuto huna
6. Mwanamme wee usiyejua hata kunyoa nywele za uumeni
7. Pesa ya hotel nilikuwa nalipa mie hadi vinywaji
8.Jifunze kupiga mswaki meno yako yana ukoko
Dawa ni kumpotezea!.... Ila kama ni kweli mda mwingine inauma maana anakuaibisha pakubwa na kukufukuzia mawindo yako
 
Jamani kuna binti nlikua natoka nae sasa wivu umemzidi nkaamua kukutengana nae cha ajabu kanianzishia bifu daily ananitukana hivi nikienda kumshtaki police ntakua nimekosea!??
Nafuu anakutukana kwani matusi hukondesha au hunenepesha?!

Kana jamaa aliachana demu wake demu kamtia visu vya kutosha tu ila Mungu mwema jamaa akapona demu aliwekwa ndani miezi mitatu baada ya kutoa 9M katoka na sasa anamtafuta tena jamaa amafanyizie tukio zaidia.

Binti analalamika hawezi jamaa amlale na kumwacha kiholela namna hiyo.

Duh sasa wewe matusi waona tabu...
 
Back
Top Bottom