Wanajamii na Wananchi Tuchimbe Uteuliwaji wa Sitta na Mwakyembe Wizarani kwa Undani Zaidi. JK Anafanya Kazi Sana Kipindi Hiki Kuimaliza Demokrasia ya Tanzania. Wananchi Hasa Sisi Tusiopendelea Sera za CCM Tulikuwa Tunafuatilia Sana Vitendo vya Sitta na Mwakyembe Bungeni. Ukweli Sitta Aliruhusu Discussions Bungeni Ambazo Bila Hiyo Ruhusa Lowasa na Wizi Mwingi Tusingezijua kwa Kina. Simsifihii Sana Sitta kwa Vitendo Vyake Tangu Huko Nyuma Ila Alionyesha Kuchoshwa na Wizi wa Humo CCM na Yeye Sitta Akaona Kuisaidia Inchi Yake ni Vizuri Aruhusu Discussions Bungeni Kufungua Mlango kwa Wabunge Wengine Ndani ya CCM Kuongelea Hizi Issues. Wabunge wa CCM Kama Kawaida Yao ni Usingizi na Kuchukua Posho ya Wananchi. Bure Tupu.......Sasa Sitta Kawekwa Wizara Ambayo Haina Impact ya Maana na Hawezi Kujua Siri Nyingi na Ripoti Nyingi Haruhusiwi Kuzisoma Kama Ilivyo Bungeni. Kwa Kifupi Kafungwa Mdomo kwa Kutumia Post ya Uwaziri..
Mwakyembe Pia Kateuliwa Wizarani ili Atoke Bungeni Kuondoa Maswali Bungeni. JK na Washahuri Wake Kingunge na Rostam Wamemueleza Akimwacha Mwakyembe Bungeni Kipindi Hiki Bungeni ni Hatari kwa CCM. Mwakyembe kwa Kifupi, Katiwa Kofuri Mdomoni kwa Kwenda Wizarani. Hawa Wabunge wa CCM Huko Bungeni ni Wamedharauliwa Kiasi Kwamba Wanaonekana Mbele ya JK ni Mifuko ya Karatasi Haina Kazi. JK Anategemea Kulala Kwao Bungeni Sio Kuwawakilisha Wananchi kwa Kuuliza Maswali. Yale Yale JK Achukue Pesa na Kwenda Retirement........Hamkeni CCM Mtalala Mpaka Lini? Kwani Hamna Ndugu Wanakufa na Shida Tanzania? Inchi Inawahitaji Sana Wakina Sitta na Mwakyembe Wengine.
Vita Jk Anavianzisha na Chadema. JK na Washahuri Wake CCM Watapata Kuishambulia Chadema Kama Wanavyotaka Kukiwa Hakuna Wauliza Maswali Kutoka CCM. Sisi Wananchi Tunatakiwa Tusupport Chadema na Uongozi Chadema Wahakikishe Wanakaa Pamoja na Kushirikiana. JK na CCM Wanataka Kuvuruga Chadema Kutumia Usalama wa Taifa na Pesa. CCM Walifanikiwa Kuua NCCR na Vyama Vingine Inchini kwa Vitendo Hivi. Wananchi Tusikubali Demokrasia Iharibiwa na Watu Wachache ili Waendelee Kuiba na Kuwaua Wananchi Mahospitalini Kila Leo. Kazi Moja ya Usalama wa Taifa TZ ni Kupeleleza Wananchi Wauliza Maswali Sio Kupeleleza Criminals. Hii Ndio Sera za CCM Kama People's Party in China. Kutumia Jeshi na Vyombo vya Ulinzi Kuwamaliza Wananchi Wako....Tutaona Itaishia Wapi Tena...
"Kwa Taarifa Yenu CCM... Chadema Haitakufa Kama NCCR na UDP Zilivyoundwa. Chadema ni Sawa na Wananchi Wote Tanzania"