U-turn 5 za Rais Samia kutoka kwa Hayati Magufuli

U-turn 5 za Rais Samia kutoka kwa Hayati Magufuli

Tuseme ukweli tuu, hao vijana walijificha kwenye mwamvuli wa uchapa kazi ndio maana hakuwaona.
Kama aliweza kuwatoa jamaa zake akina Lugola maafisa bandarn angeshindwa nn kwa hao madogo??
Unamaanisha kuwa serikali yake ili lala usingizi hadi wasijue maovu yaliyokuwa yanafanyika ndani ya utawala wake?
 
Una maswali ya kitoto sana, hapo nyuma unasema jiwe hakufanya chochote kwa wananchi wake,hapa unasema ata kama alifanya ni kwamba hakutoa mfukoni mwake hivi umefikisha miaka 18 kweli!!??
Jiwe hakuna alichokifanya chenye manufaa kwa wananchi.
 
ALIKUWA RIKIZO NA SIYO KIKAZI KAMA SASA BADALA KAZI ZA OFSI KUFANYIA DODOMA TUNAFANYIA DAR
Nani alikuwaambia alikuwa likizo...alikuwa anapokea wageni wa kimataifa kule Chato na hiyo ni kazi rasmi ya mkuu wa nchi..kumbuka wageni kutoka China walilazimika kwenda Chato...ilipohojiwa tukajibiwa kuwa Ikulu ni sehemu yoyote anapokuwa Rais so hata Chato tuliambiwa kuwa ni Ikulu Ndogo!!!!!
 
offcoures alikuwa likizo na akiwa likizoanafanya kazi nyepesinyepesi kama hizo kupokea wageni..Hata samia kuwa zanzibar kwa mapumziko ni sawa lakini kuhamishia kazi Dar hiyo siyo sawa kwani inafanya mawaziri wanashida Dar na wanajilipa mapesa mengi sana
 
JANA ALIKUWA DODOM ETI LEO AMERUDI ZANZIBAR KUZIDUA KIWANDA NA ATAKA ZANZIBAR WIKI NZIMA
Waliokaa Chato mamiezi, mpaka kufikia kuapishia viongozi huko, HUKUWAONA?
1641899343303.png
 
1. Kufanya Safari za nje kutembeza bakuri kuomba misaada na mikopo.

Moja ya jambo ambalo Magufuli alilipiga vita ni safari za nje kwa maafisa wote wa serikal isipokuwa kwa kibari maalum.
Magufuli hakutak kwenda kujipendekeza kuomba mikopo na misaada nje kwani aliamini kuna hatari ya kupewa masharti magumu ya mikopo ikiwemo kuwekeza dhamana madin na kusaini mambo machafu kama mambo ya ushoga n.k
Hii ilifanya nchi zenye nia ya kutusaidia kuja wenyewe hapa nchini na kufanya makubaliano mbalimbali ikiwemo mikopo na uwekezaji chanya kwa ajili ya maendeleo kwa taifa letu.

2. Sheria ya mwanafunzi kupata ujauzito akiwa shule.

Magufuli alikataa kumruhusu mwanafunzi kuendelea na elimu rasmi baada ya kupata mimba. Wengi baada ya kujifungua waliondok shule za serikali waliendelea private schools au kufanya mitihan kama private candidate.
Rais wa sasa tumeona akiruhusu watoto wakipata mimba bahati mbaya wakijifungua warud shule kuendelea na masomo rasmi.

3. Gharama za maisha kwa watu wa hali ya chini.

Magufuli alijitahidi kupunguza ukali wa maisha kwa;
-kupunguza gharama za kuingiza umeme kutoka laki 3 mpaka 27 elfu.
-kuto weka matozo na kodi lukuki.
-Gharama za maisha kuwa chini mfano, petrol magufuli amekufa ilikua 1800/L sahiz 2573/L kwa mkoa niliopo. Hii imesababisha gharam za vitu vingi kupanda bei hususan vifaa vya ujenzi.
Bila kusahau bei ya mbolea, mzee katutoka tukinunua 65000/=mbolea ya kupandia sahiz inauzwa 115,000/=

4. Stahiki za wafanyakazi,
Jpm ameondoka madarakn watumishi hawajapanda madaraja kwa miaka zaid ya 5, lkn Samia ndani ya miezi michache kawapandisha madaraja angalau wanafuta machozi na kupata moral ya kazi.

5. Kutatua kero za wananchi.

Hivi sasa uozo, uzembe, ubabe na wizi unarudi kwa kasi.
Hapo mwanzo Jpm aliwakosha wananchi wa hali ya chini kwa kwenda kusikiliza kero zao huko huko chini to the ground na kutatua baadhi ya changamoto papo kwa papo na nyingin aliagiza wenye mamlaka kutatua hizo kero.
Hii ilisaidia viongoz wa mikoa, wilaya na halmashauri kuwa makini na kazi zao.
Lakini hivi sasa viongz wengi wanajisahau hawawatendei haki wananchi wa hali ya chini. Hapa nakumbuk mbali walicho nifanyia Tamisemi na utumishi Dodoma Mungu anawaona.

Ebu tujazie U-turn nyingine ulizo ziona zimejitokeza kipindi kifupi baada ya Jpm kututoka.

Note; Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
COVID 19- Kukubali Chanjo, kutoa taarifa kwa WHO, na kushughulikia tatizo kisayansi
 
Kumbe.
Kudhibiti inflation hakuwa na Nia njema.
Kudhibiti wezi na kuondoa wafanyakazi hewa haikuwa Nia njema?
Nimekupata.
zito ana act wakasema inflation ndogo eti uchumi ulisinyaa,, sasa nondo zimepanda kutoka elf 20 hadi elf 36 hap akina zito wanasema mama anafungua uchumi wakati watu tunanagamia
 
Una maswali ya kitoto sana, hapo nyuma unasema jiwe hakufanya chochote kwa wananchi wake,hapa unasema ata kama alifanya ni kwamba hakutoa mfukoni mwake hivi umefikisha miaka 18 kweli!!??
Sidhani kama hata umri huo wa chini ya miaka 18 anao. Labda unajibizana na mtu ambaye hajazaliwa! Yumo tumboni itakuwa. Because these days kuna foetuses huwa wanazungumza hata wakingali tumboni bado.
 
offcoures alikuwa likizo na akiwa likizoanafanya kazi nyepesinyepesi kama hizo kupokea wageni..Hata samia kuwa zanzibar kwa mapumziko ni sawa lakini kuhamishia kazi Dar hiyo siyo sawa kwani inafanya mawaziri wanashida Dar na wanajilipa mapesa mengi sana
Na kuapisha watendaji wa serikali Chato nayo ni kazi nyepesi nyepesi....! kumbuka alipokuwa Chato kuna baadhi ya watendaji wa serikali nao walipiga kambi hapo wakijilipa miposho...Wote ni wale wale kasoro nyakati tu!
 
Back
Top Bottom