Kwani wachines hawamuungi mkono Iran?Lol...wanacheza tuu hawa waarabu wanajua wakijaribu tuu ndio utakuwa mwisho wao,na hii itakuwa vita ya kwanza Americans watakuwa na support ya Chinese
Inawezekana kabisa kuwa wamejitoa Iraq as a strateic move ili waweze kwenda Iran bila kuonekana wame occupy nchi zote...Iran wamesema kuwa kufunga hilo bomba ni rahisi sana zaidi ya kunya glasi ya maji.let see
usa they just came back from iraq ..may be thr again looking for an employments through war with iran?
Iran inawezekana wanataka kuwaprovoke US ili wajuwe mwisho wake maana nchi yao tayari ni kama iko vitani na CIA.
Strait of Hormutz ni uchokozi ambao US hawawezi kuuvumilia kwasababu kwanza ndiyo the main reason ya kuwakomalia Wairan...
Kuleta chokochoko huko ni sawa na kutaka kuwakatia US life support...
Kibano cha toughest sanctions kinakuja na ukizingatia Saudia ameahidi kuzalisha 4 more million barrels of oil ili kufidia kiwango kinachozalishwa na Iran. Huu ni ujinga na msiba wa kujitakia wa Iran. Wanajua kabisa kuwa watakula kibano sababu hawana uwezo wa kusimama na US.
Hiii itakuwa kama Georgia alivyojitakia vita na Putin kule Abakhazia.
Ukizingatia US Fifth Fleet wana naval base hapo Bahrain
VUVUZELA,The U.S. Congress has passed a bill that penalizes foreign firms that do business with the Iran Central Bank, a move that would heavily hurt Iran's ability to export crude. European and Asian nations use the bank for transactions to import Iranian oil.
President Barack Obama has said he will sign the bill despite his misgivings. China and Russia have opposed such measures.
Marekani anatafuta njia ya Kumpiga Mu IRAN na ameshaipata hiyo ya Hormuz haya Mkuu jMushi1 tuone mwisho wake itakuwaje?......... Vita Vikali tu loooooooooooooooooo Dollar ya KimaRekani imeshuka jamani shillingi ya ki Tanzania imepanda ju..... NATABIRI VITA KATI YA US NA IRAN Mwanzoni mwa mwaka 2012...............Rebuilding is the part of a "payback period" Ina maana kuwa resources zao ndizo zitakazotumika kuijenga nchi yao upya, yani ina maana hiyo ni mojawapo ya their cost of freedom, ndo maana hawaendi kila mahali hao watu...Wanaaanza na amdeni halafu wanatake over productions...
Hawawezi kuja kuwasaidia kubomoa Taifa lenu kwa kuondoa utawala mnaouona ni mbaya kama hakuna rasilimali zitakazosaidia kuwalipa hata madeni mtakayo inccur.
Marekani anatafuta njia ya Kumpiga Mu IRAN na ameshaipata hiyo ya Hormuz haya Mkuu jMushi1 tuone mwisho wake itakuwaje?......... Vita Vikali tu loooooooooooooooooo Dollar ya KimaRekani imeshuka jamani shillingi ya ki Tanzania imepanda ju..... NATABIRI VITA KATI YA US NA IRAN Mwanzoni mwa mwaka 2012...............
Lol...wanacheza tuu hawa waarabu wanajua wakijaribu tuu ndio utakuwa mwisho wao,na hii itakuwa vita ya kwanza Americans watakuwa na support ya Chinese
Mada ni wa Iran, waarabu imewahusu nini?
Au ndio "great thinker" asiyejuwa kuwa wa Iran si Waarabu?
IRAN wawe makini, kama wamedanganywa na kushusha Drone ya US, basi hiyo itakuwa mbaya kwao. Kwa mwitikio wa US juu ya Iran kufunga Hormuz, nina wasiwasi hata hiyo drone US waliilengesha makusudi hili kuongeza morari ya IRAN ya kujiona inaweza kupigana na US.
Kwa sasa dunia haiitaji vita nyingine. Wote wanaolazimisha kuanzisha vita nyingine ni 'Axes of Evil'