USA anaunga mkono waasi wa Syria na anawapatia silaha ili waipindue Serikali ya Syria, mbona hao Human Right Watch sijawasikia waipinge USA silaha zake zinamwaga damu za wasyria, nyani haoni kundule?
Wana JF sio kama wanaunga mkono M23/Rwanda, sipendi unafiki wa USA hasa maslahi yake yanapoguswa.
Vile vile sisi wa-Tz hatutakiwi kuunga mkono vikosi kwenda Congo, mzozo wa Congo hauwez kutatuliwa kwa bunduki hata Yesu atakapo rudi, mzozo wa Congo utatatiliwa na wacongo wenyewe kukaa mezani na kujadili namna wote watakavyonufaika na raslimali za ile nchi, tusiwe mashabiki maandazi.
the hunter has become the hunted,this could be the end pk era.
Kagame should go to the Hague. He is a pain in the butt
inakuaje mtu huyu huyu mmoja anasumbua eneo letu hili?!!
Sasa haya uliyoyaandika, ndio ushauri ambao JK aliwapa Rwanda, nao wakamjia juu! Sasa sielewi unaunga mkono au unapinga! Kimsingi, JK yuko sahihi kabisa... mzozo wa Congo utatatiliwa na wacongo wenyewe kukaa mezani na kujadili namna wote watakavyonufaika na raslimali za ile nchi, ....
Inakuaje mtu huyu huyu mmoja anasumbua eneo letu hili?!!
Kimenuka! naona hawa jamaa wana hamu naye sana. sijui safari hii watakuja na mbinu gani.
asulubiweeeeee!!!!!!