Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Wa-marekani walipotuma astronauts kwenda outer space waligundua kwamba wino wa kalamu zao hauwezi kuhimili joto la outer space.Walitumia miaka 10 na $12million ku-design pen itakayofaa kutumika kule outerspace.Wenzao wa-RUSSIA hawakujisumbua sana,walitumia kalamu mkaa a.k.a PENCIL!