Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Mmasai akapewa kipaza sauti kwenye msiba wa marehemu rafiki yake akaambiwa aseme machache!! Alichosema, "Msiba oyeee, jenesa safi, maiti safi!! Amependesa ajapendesa?! Mwenye wifu akufe kama ii laiyoni!!"