TZLPGA yaonya hatari ya kupuliza gesi ya kupikia kupitia kinywa

TZLPGA yaonya hatari ya kupuliza gesi ya kupikia kupitia kinywa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
TZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au madhara makubwa ya kiafya.

TZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au madhara makubwa ya kiafya
Usitoe rushwa ili upige au usipige kura. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa
 
TZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au madhara makubwa ya kiafya.

Sasa gesi ipi itayowaka na mtungi umeisha gesi?

Au huwa kuna gesi reserve inabaki ndani ya mtungi?
 
Gesi inayotoka kwa binadamu au?ina mana punz yetu ni nishati pia?
 
Kuendelea kudiskasi ishu ya kipumbavu ni kuendelea kumpa airtime mpumbavu na kumuongezea umaarufu.
 
Back
Top Bottom