Tzdaima mahusiano mabaya na jamii ya kiislam nchini

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Niliwahi kuona misuguano kati ya magazeti ya IPP hapo nyuma na jamii ya kiislam. lkn kwa sasa yametatuliwa na yameondoka.
nimewahi kusoma tahariri ya tzdaima ikipinga waislam kupewa mahakama ya kadhi na hivi karibuni iliandika kuwashtumu waislam kuleta uchochezi kwa kutaka kuwadhuru wakiristo. lkn kweli ni haki ya chombo cha habari kulalia upande mmoja.toleo la jana
inamaana muhariri mkiristo kupinga mahakama ya kadhi anatumikia taifa?
kwanini Kibanda asihamie msemakweli, kiongozi, redio maria, wapo redio?
lkn nachohofia kwamba tzdaima haina nguvu kupambana na jamii hii.
jamii ambayo hua haendi mahakamani hutumia ukiona baya chukua hatua.
tzdaima ibadilike lisiwe tawi la kanisa . litumike chadema zaidi
 
nfB6ncAESiWHUAAAAASUVORK5CYII=

hii avetari ya Nguruwe haijatulia ya!
 
Pole sana. Naona hoja za udini zinazidi kupamba moto. Hebu zungumzia kidogo gazeti la AL-NUUR ambalo kazi yake kila siku ni kufanya uchochezi na kuwatukana viongozi wa dini ya Kikristo. Au ndio yale yale ya mkuki kwa nguruwe..... Hamtaki kuambiwa ukweli au sio?
 
kwa maana hili ni tawi la msema kweli? kibanda kwa kuwa mkiristo amegeuza mradi wa kanisa , au anapokea amri kanisani?
 
Pole sana. Naona hoja za udini zinazidi kupamba moto. Hebu zungumzia kidogo gazeti la AL-NUUR ambalo kazi yake kila siku ni kufanya uchochezi na kuwatukana viongozi wa dini ya Kikristo. Au ndio yale yale ya mkuki kwa nguruwe..... Hamtaki kuambiwa ukweli au sio?

poor thinking capacity
 
Niliwahi kuona misuguano kati ya magazeti ya IPP hapo nyuma na jamii ya kiislam. lkn kwa sasa yametatuliwa na yameondoka.
nimewahi kusoma tahariri ya tzdaima ikipinga waislam kupewa mahakama ya kadhi na hivi karibuni iliandika kuwashtumu waislam kuleta uchochezi kwa kutaka kuwadhuru wakiristo. lkn kweli ni haki ya chombo cha habari kulalia upande mmoja.toleo la jana
inamaana muhariri mkiristo kupinga mahakama ya kadhi anatumikia taifa?
kwanini Kibanda asihamie msemakweli, kiongozi, redio maria, wapo redio?
lkn nachohofia kwamba tzdaima haina nguvu kupambana na jamii hii.
jamii ambayo hua haendi mahakamani hutumia ukiona baya chukua hatua.
tzdaima ibadilike lisiwe tawi la kanisa . litumike chadema zaidi

Hili suala la mahakama ya kadhi si waliachiwa waislamu wenyewe? Kama sikosei lilitolewa tamko kuwa waislamu wana haki ya kuanzisha makama yao ya kadhi kwa mujibu ya dini yao kwani wamekataliwa tena au vipi? Mbona jamani tunaenda mbele tunarudi nyuma? Ninachojua mimi ilionekana kuwa serikali haina dini hivyo haitajiingiza mojakwa moja kwenye mahakama hiyo ila waliwaruhusu waanzishe na serikali kuahidi kuwasaidia (kibinadamu) sasa tatizo lipo wapi? au wanataka tena hizi kodi zetu tulizokatwa kwenye vibanda vyetu vya kitifire ziingie tena kugharimia mishahara ya kadhi? Sijasoma hiyo tahariri lakini kama ni hili la serikali kutoa pesa zake hiyo walitolea nje, ila sidhani kama waislam wamekatazwa kuendesha utaratibu huo vinginevyo kuna uzembe mahali fulani hasa kwenye lilejopo la wataalam waliobobea wa sheria ya kiislam
ambao ndiyo walipewa jukumu hilo na BAKWATA ili kuweka mambo sawa. Waanzishe tu kwa nguvu zao, ikionekana wanakwama naamini serikali itawapiga tafu kiaina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom