polisi wa kenya ni wazembe hakuna mfano. ingekuwa hapa tz hatungehitaji hata kuita wanajeshi na vifaru kwa vijana 15 tu hao, polisi wetu hawahawa wanaolipwa laki tatu kwa mwezi wangetosha na wala yasingeisha masaa kumi. poleni majirani zetu.
hata kama ni hostages, wakenya ni wazembe mno ndio maana hata vita hamuiwezi. kwani hamna vyombo vya kujikinga na risasi? hamna makomandoo? leteni raia hapa bongo tuwafundishe ukomandooo, makomandoo wawili tu hapo walikuwa wanatosha, sasa vile vifaru na wanajeshi kibao wanaoonekana wazembewazembe hata kwa mwonekano vya nini vyote vile? vifaru mlitaka kuingia navyo mle ndani ya jengo? hivi terrorist angetoka hapo mngemfukuza kwa kifaru?hahahaha. akiingia uchochoroni mngemfukuza kwa kifaru? ninyi wakenya hamna lolote, maneno meengi, mngeomba hata msaada wa tz kuleta vijana wake hapo hata masaa kumi yasingefika. ninyi mmetumia masaa zaidi ya 50, vijana wenu wanajeshi wanaogopa kufa?wanajeshi gani hao wanaooogopa kufa? no wonder mmemsapoti kagame aliyesapoti m23 wakawaua wanajeshi wawili wa tz mmoja tumezika jana. kuna siku kenya mtakuja kujua kuwa rafiki yenu wa faida ni tz na si hao manung'ayembe.Tumieni akili this is a hostage situation you can't jus storm in like a boss,hujui exact number ya hostages ndani we unaenda tu, i say the kenyans have handled the situation well...kwani india ile hoteli iloktekwa si ilikuwa hivi hivi tu
Imetoa,,according to vyombo vya habari kama citizen Kenya na star tv TzTz Govt imetoa rambi2 kwa jirani? Niko mbele mbele huku time difference na access ya Tv za bongo inazingua. Thanks inadvance.
hata kama ni hostages, wakenya ni wazembe mno ndio maana hata vita hamuiwezi. kwani hamna vyombo vya kujikinga na risasi? hamna makomandoo? leteni raia hapa bongo tuwafundishe ukomandooo, makomandoo wawili tu hapo walikuwa wanatosha, sasa vile vifaru na wanajeshi kibao wanaoonekana wazembewazembe hata kwa mwonekano vya nini vyote vile? vifaru mlitaka kuingia navyo mle ndani ya jengo? hivi terrorist angetoka hapo mngemfukuza kwa kifaru?hahahaha. akiingia uchochoroni mngemfukuza kwa kifaru? ninyi wakenya hamna lolote, maneno meengi, mngeomba hata msaada wa tz kuleta vijana wake hapo hata masaa kumi yasingefika. ninyi mmetumia masaa zaidi ya 50, vijana wenu wanajeshi wanaogopa kufa?wanajeshi gani hao wanaooogopa kufa? no wonder mmemsapoti kagame aliyesapoti m23 wakawaua wanajeshi wawili wa tz mmoja tumezika jana. kuna siku kenya mtakuja kujua kuwa rafiki yenu wa faida ni tz na si hao manung'ayembe.