Tz daima, mwanahalisi, raimwema hayapo tena hewani!

Tz daima, mwanahalisi, raimwema hayapo tena hewani!

kama kuna mwenye address kamili ya blog ya Ndimara Tegambwage anisaidia.....Hili swala la hawa jamaa kutokuwa hewani linaudhi kidogo.....Siwashangai watu wanaohisi kuwa kuna umafia unafanyika katika kuyazima......Kipindi si kizuri hiki kwa watu wasiopenda maouvu yao kuanikwa.......
 
Guys,
Am supprised,I can not access the above mentioned magazeti online...
What a heeeeeeeeeeeeeelllll
 
MwanaHalisi hawatarudi hewani kwa sababu ambazo mimi ninazijua, labda watafute domain name nyingine, au wafanye utaratibu mwingine. Ukitaka kujua undani, Juanita, nitafute kwa PM.


whatttttttttttttttttttttttttttttttttttt??????????
 
asante mkuu kwa kuwaumbua watu humu jf na kuwatia aibu. Nimefurahi sana kwa sababu mengi yanayoandikwa humu ni majungu tu. Hayana ukweli wala mashiko. Mtu kama ZAK MALANG alishaliazisha humu, sasa baada ya taarifa yako hii sijamuona atoe komenti tena. Ni aibu kwa kweli. Naamini fitina zao hazina muda mrefu, zitakuwa ziko open kwa public.
Watu wengine bwana!Sasa kilichokusukuma ujiunge na uwanja huu wa majungu ni nini hasa.Na kinachokufanya uendelee kuwepo ni kipi?Au ndio wale mlioletwa kikazi na UWT?
 
Well, Nadhani yamezuiwa Naweza kupata hili gazeti linaloitwa this day... Halina habari za siasa as much as Mwanahalisi au Citizen

Kwahiyo Magazeti hayo labda yameondolewa kwenye Net... Domain Elimination!!!

http://www.thisday.co.tz/
 
Bora mwanahaki katoa ufafanuzi wa kimantiki. Lakini kwa ccm hii ni loophole kubwa sana. Waishio nje ya tz hawapati habari za uchaguzi kwa wakati
 
kaka akhsante lakini mbona jana august 27 tz daima lilikuwa hewani? Na pia mwanahalisi na raia mwema yaliendelea kuwepo hewani hata baada ya july 27. Ni mwishoni mwa wiki hizi mbili ndiyo hayapatikani! Unaweza kutueleza zaidi ya hapo! Ila asante umetoa ukungu uliotanda!
Kaka, ungesoma between the line ungemulewa ndugu aliyetoa ufafanuzi. Amesema kuwa notisi ilikuwa siku 30 baada ya muda wake kwisha July 27, so siku 30 after July 27 ni August 26, na ndio mitandao hiyo imekosekana, hata Daily News haipo hewani. Please rudia kusoma maelezo yake vizuri utaona hilo, ahsante
 
kaka akhsante lakini mbona jana august 27 tz daima lilikuwa hewani? Na pia mwanahalisi na raia mwema yaliendelea kuwepo hewani hata baada ya july 27. Ni mwishoni mwa wiki hizi mbili ndiyo hayapatikani! Unaweza kutueleza zaidi ya hapo! Ila asante umetoa ukungu uliotanda!

Mkulima uko sahihi, hata mimi niliweza ku access Tanzania Daima August 27, na hata Raia Mwema siku chache before, kwa hiyo sidhani kama ni swala hilo hilo lililotolewa maelezo.
Nadhani tunahitaji maelezo kutoka kwa wahusika wa magazeti haya.
 
inaelekea ni mkakati wao wenyewe wa makusudi kabisa,ili magazeti yanunuliwe....
 
Back
Top Bottom