TZ Daima Lazika Mgogoro CHADEMA

kabla haujalikashifu gazeti la tanzania daima fikiria kwanza kama ni mtoto wako alifanyiwa kitendo kapuya alichomfanyia huyo mtoto ndipo uje na hii thread yako
 
nchi yetu Tz mmmmh! tutasema sana ila maendeleo ...?kama wazee hawatambui kuwa wao sasa ni wazee n hatari
 
We nae 'majanga'!Inaonekana kilichokuuma ni habari ya uongo inayokufurahisha dhidi ya Lema haikuandikwa,ikaandikwa habari ya kweli dhidi ya Kapuya.,Na kama gazeti lingetoka na habari ya uongo dhidi ya Lema wala usingehitaji mambo ya maadili ya mashuzi na makandokando ya ccm inapokata roho.Mwee!!!
 
mtoa mada nadhani kuna screw zimechomoka kichwani mwako
kichwa cha habari na uliyoandika ni tofauti hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kuwaza pumba kama hizi.
kwa hivo wewe alichofanya Kapuya unaona sawa kabisa na hakustahili kuandikwa?
Angekuwa mwanao ndio kabakwa ungejisikia raha sana?? eeehh
nahisi mtoa mada anaweza kuwa ndio mhusika mwenyewe au kibaraka wake..
sheria lazima ichukue mkondo wake
kazi ya mwandishi ni kuelimisha,kukosoa,kuonya kuburudisha nk..
Angekuwa ni mbunge wa Chadema hapa buku 7 mngeandika mengi sana..
shame on you kwa kushabikia ujinga.
 
Unatisha wewe kutetea hili ze kipara moto Mbakaji.

 
Tz Daima wachonganishi sana, walianza na kibibi kilichooa kijukuu chake. Sasa kibabu kinachosadikiwa kubaka kijukuu na kukipa HIV. Hivi, kwani hicho kibabu na kibibi havifahamiani MAFILILI? Halafu wote wanadili na mayatima tu. Halafu wewe unakuja kuleta porojo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Gazeti ndo lilobaka ?kapuya tuna suggest anyongwe
 
kapuya anyongwe..na ikiwezekana achinjwe kama kuku amefsnya unyama mkubwa sana kuambukiza watoto ukimwi kwa makusudi kama kikwete alimtungia kesi babuseya mpaka akafungwa na familia yake kwanini kapuya analindwa..
 

Nimeisoma post yako nikagundua tatizo lipo kichwani mwako. Kwani Tz Daima ni chombo cha usuluhishi wa migogoro ya CHADEMA? Habari za Kapuya sio habari? Ulitaka gazeti hili lifanye kazi kwa utashi wako? haiwezi kuwa hivyo ndugu yangu. Hapa inaonekana umekereka sana baada ya habari za Kapuya ku-overshadow habari za migogoro ya CHADEMA. My conclusion is that it seems wee GAMBA!
 
Ni kweli gazeti la Tanzania Daima wamekosea;
Kapuya alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi wa chama chake.
 
Kuna watu wana cells za pua ya nguruwe kwenye ubongo.

Mmoja wa watu ho ni huyu alieandika huu uchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…